Kayla kang
Member
- Mar 14, 2024
- 5
- 10
Habari,
Kwa yeyote anaeifahamu kampuni ya kuchukua tenda na kuingia ubia na baadhi ya makampuni hapa nchini kwa lengo la kuwa recruit na kuwapatia hayo makampuni wafanyakazi yakiwemo Tigo, Vodacom, TANESCO na Dawasa yaani EROLINK wamekuwa wababaishaji kwenye kuwalipa vijana ambao wamekuwa wahanga wa ajira.
Wanaajiri kila siku na kila siku watu wanaacha kazi, mbaya zaidi hawaweki pesa za waajiriwa kwenye mfuko wa pensheni yaani NSSF, hii imekuwa kero sana kwa wafanyakazi wao, nimepata habari kuwa mpaka leo tarehe 11 September mishahara yao haijaingia nà hawana jibu kamili juu ya hili
Nawasihi tuwasaidie vijana wetu wanaoteseka na hizi kampuni ambazo ni za kibabaishi.