Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

Baada ya bomu la LBL hili la FIC ndilo lilikuwa linafuata. Watu wanaibiwa kila siku na bado hawashituki wala kuelimika
 
Ili wajanja waweze ku survive lazima wajinga muwepo hivyo ndo nature inavyotaka
 
Us
ushapigwa ndugu bilionea
 
Waliotapeliwq ni wengi sana.. Hi yo pesa fanya kama umetoa sadaka
 
FIC ni mwanaume na nusu aiseee yule ndo mbabee aliesepa na mpunga wa maana bila shidaa wala bugudhaaa wameliaa wengi sanaa huko kama ni hela kidogo bhasi 1bilion.
 
FIC ni mwanaume na nusu aiseee yule ndo mbabee aliesepa na mpunga wa maana bila shidaa wala bugudhaaa wameliaa wengi sanaa huko kama ni hela kidogo bhasi 1bilion.
Wanalia kimya kimya , kwanza aliingia na mtaji , mnaijeria Yule kiboko, mwanzo akawapa pesa Ile waliyoweka wenyewe , akawavuta taratibutaratibu watu wakaongeza pesa wakajua unapata pesa umekaa, ajabu hii kuanzia mijini hadi vijijini watu wakaweka mamilioni na wengine walikopa benki kuwekeza huko baadae masharti yakaanza kua mnatoa kwa levels wakapangiwa makundi , kilichowakuta ni kumbukumbu isiyofutika kwenye akili zao, hua tunasema ukiona umetapeliwa fahamu aliyekutapeli anakushinda uwezo wa akili kwa mbali sana
 
Pole sana mkuu, hili liwe somo Kwa wale ambao hawajatumbukia huku.
 
Wamejionea kiwango chao cha akili kwa sasa wako level gani katika kufikiri
Yanii hii ya FIC hata wasomi wameingia king kirahisi sanaa..maana ilikuja kwa mfumo wa betting πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kuna jamaa yangu yupo kigoma vijijin,hakuwa mtu wa betting wakat tupo chuo sasa nikashangaa ananiambia haya mambo ya F.I.C na alikuwa mpaka kaweka zaidi ya 2mil,
 
Tukiwambia hakunaga hela za ku download mnakuwa wakali ngoja kiwarambe Bado hao wa empowered consumerism πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…