Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
LBL wametumia nguvu kubwa na wameingia kwenye msala na serikali pengine hela nyingi sana serikali imezishikilia ila FIC aiseee hata serikali haijui kama watu wamepigwaa na kuna maboss wengi sana wamelia bora LBL ilikuwa makapukuTena hii wanaijeria wamepiga wengi kuliko hata lbl
Hata humu FIC imepita na wengi , pesa sio rahisi dunia hiiLBL wametumia nguvu kubwa na wameingia kwenye msala na serikali pengine hela nyingi sana serikali imezishikilia ila FIC aiseee hata serikali haijui kama watu wamepigwaa na kuna maboss wengi sana wamelia bora LBL ilikuwa makapuku
Hakuna utajiri wa ghafla duniani🤣kuna polisi mmoja amejiunga anasema wenzake wataona ghafla anakua tajir bahati mabaya mpaka sasa hajui kama mambo yameshaharibia
Vipi amekuwa tajiri🤣kuna polisi mmoja amejiunga anasema wenzake wataona ghafla anakua tajir bahati mabaya mpaka sasa hajui kama mambo yameshaharibia
Upo kwenye madiniHakuna utajiri wa ghafla duniani
Iwe dhahabu au mawe, nayo ina process zake sio utajiri wa ghafla kama wengi wanavofikiria na wapo wengi kwenye chain ya mining wanapoteza pesa na kufirisika kama kawaidaUpo kwenye madini
Kila nikimuona nacheka sana bado anacheza hajajua kama mambo yameshakua sioVipi amekuwa tajiri
Nilimshauri sana nikampa na mifano ya desi kalyanda lakini hakutaka kunielewa.Hakuna utajiri wa ghafla duniani
Washaifunga rasmi au bado wanakula kulatoka mwanzo ulionekana na uliambiwa kabisa ni mchezo wa kubahatisha hivyo ulitakiwa kuwekeza huku ukijua chochote kinaweza kutokea.
halikuwa swala na kuwekeza fedha nyingi ila ni kucheza na fedha kidogo na kuvuna sana.
yupo rafiki yangu yeye imemlipa sana na alibakiza fedha zao tu hivyo anamaumivu lakini angalau anacho alichopata.
tulia jipange upya maisha bado yapo na unacho cha kujifunza mwanaume hajaubwa kulialia unapigwa kesho unapata akili nyingine.
MWENYEZI MUNGU akupe nguvu na maarifa mapya katika kutafuta.
Pole sana ndugu ila haya maswali yote ulipaswa kujiuliza kabla hujaamua kuwekeza pesa zako humo.Kampuni ya FIC Imenitapeli – Naombeni Ushauri
Ndugu wanajamii,
Nimejikuta katika hali ngumu baada ya kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 1 katika kampuni ya FIC, lakini sasa fedha hizo hazipatikani. Nimejaribu kutoa bila mafanikio, na sijapata majibu ya kuridhisha kutoka kwa kampuni husika.
Naomba ushauri wenu:
Ningependa kusikia mawazo na ushauri wenu ili kujua hatua gani zichukuliwe katika hali hii.
- Je, kuna mwanajamii mwingine aliyekutana na tatizo kama hili na FIC? Kama ndiyo, ulitatua vipi?
- Nini hatua sahihi za kuchukua katika hali kama hii? Je, ni vyema kuripoti kwa vyombo vya sheria au kuna njia nyingine za kutatua suala hili?
- Kuna taarifa zozote kuhusu uhalali wa kampuni ya FIC nchini Tanzania? Je, imesajiliwa rasmi na mamlaka husika?
Asanteni.
ishafungwa nafikiriWashaifunga rasmi au bado wanakula kula