Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

FIC , LBL , PI kuna watu waliwekeza sehemu zote hizo kwa pamoja walijua mambo mepesi sasa ndio safari na mziki
 
Kampuni ya FIC Imenitapeli – Naombeni Ushauri

Ndugu wanajamii,

Nimejikuta katika hali ngumu baada ya kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 1 katika kampuni ya FIC, lakini sasa fedha hizo hazipatikani. Nimejaribu kutoa bila mafanikio, na sijapata majibu ya kuridhisha kutoka kwa kampuni husika.

Naomba ushauri wenu:
  1. Je, kuna mwanajamii mwingine aliyekutana na tatizo kama hili na FIC? Kama ndiyo, ulitatua vipi?
  2. Nini hatua sahihi za kuchukua katika hali kama hii? Je, ni vyema kuripoti kwa vyombo vya sheria au kuna njia nyingine za kutatua suala hili?
  3. Kuna taarifa zozote kuhusu uhalali wa kampuni ya FIC nchini Tanzania? Je, imesajiliwa rasmi na mamlaka husika?
Ningependa kusikia mawazo na ushauri wenu ili kujua hatua gani zichukuliwe katika hali hii.

Asanteni.
Inatakiwa ukamatwe ucharazwe viboko hadharani.
 
Kuna jamaa ofisini alijiunga LBL,ilivyomnogea akawa mda wa lunch anatupa hadi offer za vinywaji na chakula,ukimuuliza vipi anasema this is from LBL,sijui alikua ni group admin, akachukua hadi mkopo bank akafix huko, saa hizi ni kilio tu,
 
LBL , FIC , PI huo ndio uwekezaji WA wabongo walitarajia kuvuna mabilioni huko inachekesha kweli
 
Kuna taarifa zozote kuhusu uhalali wa kampuni ya FIC nchini Tanzania? Je, imesajiliwa rasmi na mamlaka husika?
Yaani mpaka unaibiwa ndiyo unazinduka kutoka usingizini? Kazi kweli kweli
 
Kwanini ushauri hua hauombwi wakati mnataka kujiunga. Mnakuja mkishatapeliwa?
 
Kampuni ya FIC Imenitapeli – Naombeni Ushauri

Ndugu wanajamii,

Nimejikuta katika hali ngumu baada ya kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 1 katika kampuni ya FIC, lakini sasa fedha hizo hazipatikani. Nimejaribu kutoa bila mafanikio, na sijapata majibu ya kuridhisha kutoka kwa kampuni husika.

Naomba ushauri wenu:
  1. Je, kuna mwanajamii mwingine aliyekutana na tatizo kama hili na FIC? Kama ndiyo, ulitatua vipi?
  2. Nini hatua sahihi za kuchukua katika hali kama hii? Je, ni vyema kuripoti kwa vyombo vya sheria au kuna njia nyingine za kutatua suala hili?
  3. Kuna taarifa zozote kuhusu uhalali wa kampuni ya FIC nchini Tanzania? Je, imesajiliwa rasmi na mamlaka husika?
Ningependa kusikia mawazo na ushauri wenu ili kujua hatua gani zichukuliwe katika hali hii.

Asanteni.
Kwanza nikupongeze kwa kuwa na mpambanaji kiasi cha kutafuta ma mahali pakuwekeza, hii isikuvunjemoyo wewe ni mpambanaji hodari, shujaa jabari.
Hebu jipige kifua mara3 kisha sema" imi ni jembe na ikija kampuni nyingine naweka m zigo."
 
Kampuni ya FIC Imenitapeli – Naombeni Ushauri

Ndugu wanajamii,

Nimejikuta katika hali ngumu baada ya kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 1 katika kampuni ya FIC, lakini sasa fedha hizo hazipatikani. Nimejaribu kutoa bila mafanikio, na sijapata majibu ya kuridhisha kutoka kwa kampuni husika.

Naomba ushauri wenu:
  1. Je, kuna mwanajamii mwingine aliyekutana na tatizo kama hili na FIC? Kama ndiyo, ulitatua vipi?
  2. Nini hatua sahihi za kuchukua katika hali kama hii? Je, ni vyema kuripoti kwa vyombo vya sheria au kuna njia nyingine za kutatua suala hili?
  3. Kuna taarifa zozote kuhusu uhalali wa kampuni ya FIC nchini Tanzania? Je, imesajiliwa rasmi na mamlaka husika?
Ningependa kusikia mawazo na ushauri wenu ili kujua hatua gani zichukuliwe katika hali hii.
Asanteni.
LIPUMBAVU jingine hili hapa, ukiwaambia haya maapp ni ya utapeli hua wabishiiiii kum@ la mamazao wakishaliwa ndio utaona wanaanza kuuliza maswali ya kisenge kama ati je kampuni imesajiliwa, ivi we mpumbavu kwanini haukujiuliza Hilo swali wakati unaweka hiyo pesa Yako ??!!
 
Kampuni ya FIC Imenitapeli – Naombeni Ushauri

Ndugu wanajamii,

Nimejikuta katika hali ngumu baada ya kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 1 katika kampuni ya FIC, lakini sasa fedha hizo hazipatikani. Nimejaribu kutoa bila mafanikio, na sijapata majibu ya kuridhisha kutoka kwa kampuni husika.

Naomba ushauri wenu:
  1. Je, kuna mwanajamii mwingine aliyekutana na tatizo kama hili na FIC? Kama ndiyo, ulitatua vipi?
  2. Nini hatua sahihi za kuchukua katika hali kama hii? Je, ni vyema kuripoti kwa vyombo vya sheria au kuna njia nyingine za kutatua suala hili?
  3. Kuna taarifa zozote kuhusu uhalali wa kampuni ya FIC nchini Tanzania? Je, imesajiliwa rasmi na mamlaka husika?
Ningependa kusikia mawazo na ushauri wenu ili kujua hatua gani zichukuliwe katika hali hii.

Asanteni.
Mtaibiwa mpaka lini?
 
Kama mwekezaji unatakiwa kuriski sana ili upate zaidi. Hapo kwenye milioni moja faida kila siku ni shilingi 25000/-
Kwa siku kumi ni laki mbili na nusu.
Mwezi ni 750000/-
Mtaji wako unabaki vilevile hauguswi hata kidogo.

Pesa za kudownlod hoye
Post ya kingese sana hii
 
Back
Top Bottom