Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

Ukae kwa kutulia,tayari ushapigwa hapo.xha msingi ni kutulia,vuta pumzi,jipange upya.maishani hakunaga pesa rahisi..
Jitahidi ukipata pesa wekeza kwenye biashara inayoonekana kwa macho,simamia mwenyewe ,usimwamini mtu kwenye suala la pesa..
 
Pole sana

Vita ya uchumi ni ngumu kweli, adui hujui silaha zake wala alipojificha
 
Mtatapeliwa sana tu kwasababu wengi tunapenda mafanikio bila jasho,ukishadanganywa ukiweka 1m inazaa unahanisha ubongo kabisa na kubaki na kopo tupu........hujiulizi kabisa hela inazaaje kirahisi hivyo.Nchi yetu pamoja na wale maadui wengine lakini ujinga bado ni tatizo kubwa sana
 
Wana account telegram weka malalamiko yako huko ili member wengine wayaone
 
Ila yule mnaigeria aliyeformulate software ya LBL akawapiga watz heshima sana kwake.
Alitengeneza program lazima unase watu hawakutoa hela zao akawawekea program ya kuinvest kwa siku chache hadi mwaka, kupitia AI akatengeneza documents za BOT akawakamata viongozi wa dini akapromote kwenye media,akaandaa documentary eti lbl imeanzishwa mwaka 1967 lengo ni kuwasaidia masikini.
Eti kampuni za filamu zikulipe wwe kwa kutazama tu video.duu.
Niwape siri hizi ponzi pyramid scheme zikiingia tu mwanzoni ingia pesa yako ikirudi usiingize pesa subiria maumivu kwa watakaojiunga nyuma.
Hizi platforms zote za pesa haziwezi zidi miezi sita huwa ni mitatu.
Na nyingi huwa wanadili na serikali baada ya maumivu wanakaa chini ngapi mmepata wanagawana.
Wamekuja kivingine wanajiita global na pia wabongo wamefungua lbl kibao karibuni tupigwe wote maumivu ya wengi hayaumi Mimi Nishajiunga napakua pesa
 

Attachments

  • Screenshot_20250302_065630.jpg
    Screenshot_20250302_065630.jpg
    312.9 KB · Views: 2
Jitahidi ukipata pesa wekeza kwenye biashara inayoonekana kwa macho,simamia mwenyewe ,usimwamini mtu kwenye suala la pesa..
Bolded and underlined.
Siri ya mafanikio kwenye biashara Ni hiyo.
Nyongeza: unatakiwa kuwa na matumizi mazuri ya pesa na kujinyima mwanzo wa biashara.
 
Hawa ni watoto wa lbl karibuni tupigwe sote Wapo wengi kuna global, pesa tube, evergreen venture, KFC Tanzania njoo na akili tu mtaji utakuuta hapa hapa nchini
 

Attachments

  • Screenshot_20250305_081751.jpg
    Screenshot_20250305_081751.jpg
    474 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250305_081741.jpg
    Screenshot_20250305_081741.jpg
    401.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250305_081641.jpg
    Screenshot_20250305_081641.jpg
    402.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250305_081721.jpg
    Screenshot_20250305_081721.jpg
    318 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250305_081521.jpg
    Screenshot_20250305_081521.jpg
    500.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250305_081617.jpg
    Screenshot_20250305_081617.jpg
    253 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250305_081439.jpg
    Screenshot_20250305_081439.jpg
    458.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250305_081451.jpg
    Screenshot_20250305_081451.jpg
    399.5 KB · Views: 1
Bila kusahau wale wakenya wa UN promotion na UNICEF promotion, kwenye IT ndo rahisi kupiga hela IT haidhibitiki wameshindwa FBI ndo police wa bongo waliosoma DIT wataweza?
Ukiona unaitwa kwenye fursa tambua we ndo fursa.
Mayai ya kwale,ufugaji nyoka, kilimo cha vanilla,mlonge, ufugaji sungura wenzetu wanalia kwenye kilimo cha parachichi sasa hivi waliambiwa ni fursa.
Bongo njoo na akili tu
 
Nikikumbuka kuna mtu aliweka 60M LBL ndio naamini hii nchi ujinga bado mwingi sana.
Kuna dada mmoja mjini naye anaitwa nicole yule mwenye takooo kubwa kawapiga watu mambo ya upatu 😄
Nlipita obay pale nliona msululu wa watu wameenda kushtaki
Mijitu mijinga kabisa

Ova
 
Back
Top Bottom