Ambazo Kwa Sasa Ziko Sokoni ,, Hili Linakuja Mara Baada ya Mashabiki wa Yanga Hususani Wanawake Kusema Kuwa Wao ni kama wanatengwa katika Jezi Kwani Wanahitaji Waletewe Madela Ikiwa kama Jezi Kwao Pindi Waendapo Viwanjani .
Kama Unakumbuka Mwanzoni Mwa Msimu Huu Vilabu vya Simba na Yanga Vilipokea Mapendekezo kutoka kwa Wanachama na Mashabiki wa Timu Hizo Kutengenezewa Madela .