Mr_X
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,170
- 2,335
Mizigo yote ni official na ni kawaida sana hasa UAEHiyo ya Barca na Liverpool ni official au from China?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mizigo yote ni official na ni kawaida sana hasa UAEHiyo ya Barca na Liverpool ni official au from China?
Nithibitishie kutoka kwenye vyanzo vya kuaminikaMizigo yote ni official na ni kawaida sana hasa UAE
Kuna bhatu bhana tomboka tu alisikika mkongoman mmoja akisemaWatajua hawajuiView attachment 1647553
[emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana likiwa zito litamkera Behaviourist mzee wa chura
[emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana likiwa zito litamkera Behaviourist mzee wa chura
wivu tu huo mkuuDera zito Ni sawa na OVAROLI
Kibishara ni idea nzuri sana ila designing kidogo wamekwama hasa muendelezo wake kuelekea chini mi nilizani wangeyatengeneza kufanania miili ya kina Dada pia kule chini wasingeweka flat kama yalivokaaAmbazo Kwa Sasa Ziko Sokoni ,, Hili Linakuja Mara Baada ya Mashabiki wa Yanga Hususani Wanawake Kusema Kuwa Wao ni kama wanatengwa katika Jezi Kwani Wanahitaji Waletewe Madela Ikiwa kama Jezi Kwao Pindi Waendapo Viwanjani .
Kama Unakumbuka Mwanzoni Mwa Msimu Huu Vilabu vya Simba na Yanga Vilipokea Mapendekezo kutoka kwa Wanachama na Mashabiki wa Timu Hizo Kutengenezewa Madela .
View attachment 1647532
VIPI UNAONAJE HUO MTOKO WA AKINA DADAA??
Why not Kanisani?Njemba moja alisikika akiuliza hii si naweza kwenda nayo msikitini kusali au ni noma? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana likiwa zito litamkera Behaviourist mzee wa chura