Kampuni ya GSM Ambao ni Wazalishaji na Wasambazaji wa Vifaa Vya Klabu ya Yanga Wameleta Jezi Aina ya Dela

Njemba moja alisikika akiuliza hii si naweza kwenda nayo msikitini kusali au ni noma? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Kibishara ni idea nzuri sana ila designing kidogo wamekwama hasa muendelezo wake kuelekea chini mi nilizani wangeyatengeneza kufanania miili ya kina Dada pia kule chini wasingeweka flat kama yalivokaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…