Kampuni ya Hall of Fame Boxing yaishtaki Azam Media, yataka ilipwe Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha maudhui kinyume na mkataba

Kimeumana... Maelezo haya yanatosha kusema Jamaa 2 B yameilamba , labda hapo kwenye kupata rekodi , Ndio mchezo una eza kuchezwa!
Hujasoma na kama umesoma hujaelewa! So far ushahidi haujapatikana hadi tcra wamewachomolea hall of fame

Hall of fame kazi wanayo
 
kesi mbona nyepesi hawa hall of shame hawashindi watafute hela kama wanaume wengine waache miserereko waliokuza boxing bongo ni azam narudia tena waliokuza boxing bongo ni azam wapewe maua yao.
 


Ujinga tu. Kama live ilikaa vizuri na walilipa, mengine ni uroho tu wa fedha.
 
Watanzania mnapaswa kuelewa kuwa COSOTA ni mshirika mkubwa wa piracy nchini.

TCRA hawana la kujitetea kwenye hili, ingekuwa ishu ya msanii katukana wangetoa hata kama ingekuwa kipindi kimerushwa zaidi ya mwaka
Porojo tupu, kanuni ya 11 (4) inasemaje, tuambie wewe taratibu ziko vipi maana zilizoainishwa na tcra wenyewe hukubaliani nazo tuambie za kwako wewe tuzitumie
 
Haya ndio mazoea ya kijinga. Inakuwaje Azam anavunja mkataba ambao upo wazi. Anavyopromoti ngumi tambua na yeye anaingiza hela no free lunch ndugu. Wadai lazima wamejipanga wana kila aina ya ushahidi ndio maana wanataka 2B.
wana kila aina ya ushahidi vipi ushahidi wanaolilia kutoka tcra acha porojo hakuna kesi hapa.
 
hall of fame hawana ushahidi wowote mahakamani ni lazima watashindwa kesi baada ya kushindwa kesi azam atafungua kesi ya kudhalilishwa alipwe2B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…