Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Kuna utitiri wa kesi za fidia huko mbeleni wengine wanategea atoke madarakani, wengine wataanzisha kesi kwenye mahakama za kimataifa ambapo hawezi kuingilia mahakama hizo kama afanyavyo kwa mahakama za TanzaniaMoto unawaka..
Decision makers wetu yaani akina Mawe ndio wanatumia sijui nini kufikiri..
Angalia sasa what is happening...pure lack of maarifa....aisee,mawe mwana hasara kabisa!
Watauza nyumba zake kuanzia za Dsm mpaka chato kulipa DeniHizo fidia bill220 Nina uhakika TL akiingia madarakani na akawaminya kende vizuri genge la Magufuli lazima watazicheua tu.
Sheria ileile ya wahujumu uchumi kurudisha pesa zilizokombwa ita apply!
Uko serious?Kwani kabudi ameshasemaje?
Ukiwa tajiri hukosi vikesi vya kudaiwa fidia maana hata wazungu wanajua sisi ni donor country basi tu mambo madogomadogo yanatukwamisha.
Haifahamiki kwa wananchi au kwa serikali?Washitaki tu...kabla ya kesi watuambie CSR walitoa kiasi gani maana hata kampuni yenyewe haifahamiki
Polepole hajielewi ataharibu zaidi endapo atajidai kutaka kulielezeaPole pole ataliyolea ufafanuzi hili. Mbona jambo rahisi sana
Tulia kwanza Mkuu kunywa maji mengi ... Wapi nimeandika hiyo kampuni ni ya India.Ukiseikia Indiana si kwamba kampuni iko India, huzi Shule Mola atuokeo tuna kosa Exposure kwa kiwango cha kutisha
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini Mashariki mwa Tanzania...
Marekani hacheki na kima mwaka huu. Watajuta 😂😂😂The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.
The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.
The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.
We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.
By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
Watauza nyumba zake kuanzia za Dsm mpaka chato kulipa Deni
MkuuKuna utitiri wa kesi za fidia huko mbeleni wengine wanategea atoke madarakani, wengine wataanzisha kesi kwenye mahakama za kimataifa ambapo hawezi kuingilia mahakama hizo kama afanyavyo kwa mahakama za Tanzania
Bilioni 200 ni kitu gani? Ngoja nikuambieNyie ndio wapumbavu! Hamjui tumeokoa kiasi gani kwa kuvunja huo mkataba!
Bilion 200 ni kitu gani?
Tundu Lissu hajawahi kuwa zuzu kiasi hicho. Uzuzu wa namna hiyo unafanywa na CCM, rejea serikali ya CCM ilivyowazika hai wachimbaji wadogo wa dhahabu kule Bulyanhulu. Ni Tundu Lissu ndiye aliyesimama kidete kuwashitaki wawekaji ambao walikuwa wanakingiwa kifua na serikali ya CCM.Lisu ndie kawaomba kuwa nikishinda kesi tutagawana nusu kwa nusu kitakachopatikana wala wao hawakuwa na mpango wa kufungua kesi
Wakamwambia go ahead
Jitahidi kutofautisha Indiana vs India.Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.
Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
"HATUJARIBIWI"Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.
Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
Ndege kwenda India sikumaanisha hiyo kampuni ni ya India...maana yangu nilikuwa najaribu kuonyesha vile ndege zetu zinavyokamatwa zikiwa nje....nikitahadharisha hata hiyo inaweza kukamatwa..Jitahidi kutofautisha Indiana vs India.