Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

Hizo fidia bill220 Nina uhakika TL akiingia madarakani na akawaminya kende vizuri genge la Magufuli lazima watazicheua tu.

Sheria ileile ya wahujumu uchumi kurudisha pesa zilizokombwa ita apply!
 
Moto unawaka..

Decision makers wetu yaani akina Mawe ndio wanatumia sijui nini kufikiri..

Angalia sasa what is happening...pure lack of maarifa....aisee,mawe mwana hasara kabisa!
Kuna utitiri wa kesi za fidia huko mbeleni wengine wanategea atoke madarakani, wengine wataanzisha kesi kwenye mahakama za kimataifa ambapo hawezi kuingilia mahakama hizo kama afanyavyo kwa mahakama za Tanzania
 
Hizo fidia bill220 Nina uhakika TL akiingia madarakani na akawaminya kende vizuri genge la Magufuli lazima watazicheua tu.

Sheria ileile ya wahujumu uchumi kurudisha pesa zilizokombwa ita apply!
Watauza nyumba zake kuanzia za Dsm mpaka chato kulipa Deni
 
Ukiseikia Indiana si kwamba kampuni iko India, huzi Shule Mola atuokeo tuna kosa Exposure kwa kiwango cha kutisha
Tulia kwanza Mkuu kunywa maji mengi ... Wapi nimeandika hiyo kampuni ni ya India.
 
Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini Mashariki mwa Tanzania...
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Marekani hacheki na kima mwaka huu. Watajuta 😂😂😂
 
Watauza nyumba zake kuanzia za Dsm mpaka chato kulipa Deni

Ndio ukaona CCM wanauwa mtu ili wabakie madarakani , Huku Zanzibar ndio tokea day one ilipoingia madarakani ni wizi kwenda mbele . Ndio ukawaona viongozi wa CCM ukiongelea kuweka serikali 3 wanakuona ni gaidi , au uongelee kuvunja muungano ndio kabisa unageuzwa Bin Laden
 
Kuna utitiri wa kesi za fidia huko mbeleni wengine wanategea atoke madarakani, wengine wataanzisha kesi kwenye mahakama za kimataifa ambapo hawezi kuingilia mahakama hizo kama afanyavyo kwa mahakama za Tanzania
Mkuu

We are fvcked,ndio madhara ya kuweka lunatics in position of power who decide on our behalf...

Lunatics!
 
Nyie ndio wapumbavu! Hamjui tumeokoa kiasi gani kwa kuvunja huo mkataba!
Bilion 200 ni kitu gani?
Bilioni 200 ni kitu gani? Ngoja nikuambie

Bilioni 200 ni vituo vya afya zaidi ya 100, Bilioni 200 ni maabara tano tano kwenye shule za sekondari kila halmashauri, bilioni 200 ni bajeti ya wizara ya habari kwa miaka 6, bilioni 200 ni bajeti ya wizara ya madini kwa roughly 5 years. Unataka niendelee?

Sikiliza Krimea Hata kama tume-save trillions of money as per your explanation usitake kufanya 220 Billion kua ni pesa ndogo. Tumia akili kiasi kufanya justifications za haya mambo usiwe mtu wa praise and worship tu
 
Lisu ndie kawaomba kuwa nikishinda kesi tutagawana nusu kwa nusu kitakachopatikana wala wao hawakuwa na mpango wa kufungua kesi

Wakamwambia go ahead
Tundu Lissu hajawahi kuwa zuzu kiasi hicho. Uzuzu wa namna hiyo unafanywa na CCM, rejea serikali ya CCM ilivyowazika hai wachimbaji wadogo wa dhahabu kule Bulyanhulu. Ni Tundu Lissu ndiye aliyesimama kidete kuwashitaki wawekaji ambao walikuwa wanakingiwa kifua na serikali ya CCM.
CCM ni chama Cha kiboya Sana, yaani kinaua watu wake kwa kuwafukia wakiwa hai, ili kipore ardhi yao na kuwapa wazungu.
Ni aibu Sana kuwa mwana CCM
 
Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.

Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
Jitahidi kutofautisha Indiana vs India.
 
Magufuli ni janga la taifa. Halafu anajionaga ana akili kuliko watu wote.

Unaongoza nchi kama vile unaongoza familia yako.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.

Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
"HATUJARIBIWI"
 
Jitahidi kutofautisha Indiana vs India.
Ndege kwenda India sikumaanisha hiyo kampuni ni ya India...maana yangu nilikuwa najaribu kuonyesha vile ndege zetu zinavyokamatwa zikiwa nje....nikitahadharisha hata hiyo inaweza kukamatwa..
 
Back
Top Bottom