Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

Magufuli yupi hakurupuki? Yule wa meli ya samaki kituo cha mafuta mwanza au mwingine?

Anza tu kulia ๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰maana tano tena ni ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿฝ๐Ÿ’ƒ๐Ÿฝ๐Ÿ’ƒ๐Ÿฝ
 
Sasa kama umevunja mkataba unaokoa matililioni hiyo bilioni 200 ni kitu gani?

Yani umevunja mkataba ukalipa elfu 1 kama faini kisha ukaokoa elfu 10 hapo hiyo elfu 1 ni kitu gani?
 
Mwezi Januari mwaka huu (2029) kampuni ya Indiana Resources ilitoa taarifa ya mzozo kwa serikali ya Tanzania na sasa imeomba suluhisho kutoka kwa Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Mizozo ya Uwekezaji (ICSID).
Hizi typo zina irritate!!! Haraka ya nini!?
 
Mnamo mwaka 2018, Serikali ya Tanzanua ilichapisha Sheria za Madini zilizofuta leseni zote za uhifadhi zilizotolewa kabla ya 2018, huku leseni zote za uhifadhi mara moja zikarudishwa Serikalini
Hivi walikuwa wanahifadhi iliyo ardhini ama ambayo imeisha chimbwa! Naomba msada wa uelewa!
 
Sasa kama umevunja mkataba unaokoa matililioni hiyo bilioni 200 ni kitu gani?

Yani umevunja mkataba ukalipa elfu 1 kama faini kisha ukaokoa elfu 10 hapo hiyo elfu 1 ni kitu gani?
Bado unaandika vitu vya kijinga..Usitafute justifications za kitoto kwa mifano isiyokua na maana.
 
Hapa sio mahakamani lakini hiyo Kesi Lisu anahusika kuifungua ili waipige nchi pesa wagawaรฑe hela
Wakati mwingine jitahidi kuficha upumbavu wako. Lisu ndiye aliwatuma kuvunja mkataba kinyume na mlivyokubaliana? Kila madudu yenu mnasingizia Lisu, mtasema mengi ila hamtudanganyi tena!
 
Waje waje wawachukue VIONGOZI wa TZ wawapeleke india wakawachezeshe nachi wee! Mpk pesa yao itapoisha!
 
Namsubiri Pascal Mayalla aje na utetezi wake kwa niaba ya Kabudi
 





Tundu Lisu wampe kesi hiyo awasaidie wahindi wenzake
 
Polepole ataliyolea ufafanuzi hili. Mbona jambo rahisi sana
Pamoja na anayeshitakiwa ni Serikali ya CCM, Polepole ni kilaza kama wewe wala hajui kinachoendelea kuhusu hili wala Serikali haitataka ajiingize huko maana kuna watu wameajiriwa kufafanua au kujibu hoja za kisheria kama hizo. Bahati mbaya sana huko CCM wamejaa wajinga ambao wanajaribu kuwalinda viongozi wa Serikali ambao ni wanachama wenzao ili wafikiriwe kupata uteuzi kumbe wanawaharibia mpaka waonekane majuha kama wao mbele ya jamii. Serikali ina uwezo wa kujibu lolote kuhusu madeni yake bila kuwatumia vilaza kama hawa wa humu mitandaoni ambao hata hayo madini hawayajui. Dr Hassan Abbas ndo msemaji wa Serikali inayoshitakiwa.
 
Mtaishia kuficha mindege yenu maana hili beberu likiwashinda kwenye hii kesi litaanza kuzisaka. Hivi hamna mawakili waliosomea vizuri sheria za mikataba na kujua namna ya kutaifisha mali bila kuangukia pua, mnafanya mambo kibabe babe na kuishia kuburuzwa huku ndege zikikamatwa......

-----------------------------------


Mining Weekly | 30 September 2020

Indiana lodges $95m claim against Tanzania

By: Esmarie Iannucci

PERTH (miningweekly.com) โ€“ ASX-listed Indiana Resources has lodged a $95-million compensation claim against the government of Tanzania over the "illegal expropriationโ€ of the Ntaka Hill nickel project.

The dispute arose from a 2017 decision by the Tanzanian government to amend the Mining Act, abolishing the legislative basis for the retention licence classification, without replacing this classification.

In 2018, the government published Mining Regulations cancelling all retention licences issued prior to 2018, with all the retention licences immediately transferred back to the government.

The Ntaka Hill project was one of the projects affected by this decision.

Indiana Resources in January this year delivered a notice of dispute to the Tanzanian government, and has now requested arbitration with the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID).

โ€œWe have worked diligently over the past six months to prepare to lodge our request for arbitration with the ICSID and place an estimate on the value of the claim for compensation for the expropriation of the project,โ€ said executive chairperson Bronwyn Barnes.

โ€œThe lodgment of our request for arbitration formally commences the arbitration process and we will now prepare to present our full claim for compensation for the loss of the asset and damage resulting from the actions of the Tanzanian government.

โ€œWith litigation funding in place to support all legal costs relating to arbitration, we can proceed to prepare for arbitration knowing that shareholdersโ€™ interest have been fully protected and will not incur any further losses in seeking compensation.โ€

Indiana lodges $95m claim against Tanzania
 
Tuko busy tunafanya mikutano ya kampeni, tukimaliza uchaguzi tutakuja kukujibu
 
Feliciani kabuga kakamatwa alikuwa akiishi kenya huku anamiliki mali kibao kenya ndio kimbilio la wahalifu hili mradi wana pesa watapokelewa tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania is a dead state. Ule mkulima aliyekamata ndege South Africa walilipa au bado? Then this..
TANZANIA IS A DEAD STATE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ