cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Magufuli yupi hakurupuki? Yule wa meli ya samaki kituo cha mafuta mwanza au mwingine?
Anza tu kulia ππππmaana tano tena ni π―ππππππ½ππ½ππ½
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli yupi hakurupuki? Yule wa meli ya samaki kituo cha mafuta mwanza au mwingine?
CSR inatolewa na kampuni zinazofanya utafiti??Washitaki tu...kabla ya kesi watuambie CSR walitoa kiasi gani maana hata kampuni yenyewe haifahamiki
Sasa kama umevunja mkataba unaokoa matililioni hiyo bilioni 200 ni kitu gani?Bilioni 200 ni kitu gani? Ngoja nikuambie
Bilioni 200 ni vituo vya afya zaidi ya 100, Bilioni 200 ni maabara tano tano kwenye shule za sekondari kila halmashauri, bilioni 200 ni bajeti ya wizara ya habari kwa miaka 6, bilioni 200 ni bajeti ya wizara ya madini kwa roughly 5 years. Unataka niendelee?
Sikiliza Krimea Hata kama tume-save trillions of money as per your explanation usitake kufanya 220 Billion kua ni pesa ndogo. Tumia akili kiasi kufanya justifications za haya mambo usiwe mtu wa praise and worship tu
Hizi typo zina irritate!!! Haraka ya nini!?Mwezi Januari mwaka huu (2029) kampuni ya Indiana Resources ilitoa taarifa ya mzozo kwa serikali ya Tanzania na sasa imeomba suluhisho kutoka kwa Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Mizozo ya Uwekezaji (ICSID).
Hivi walikuwa wanahifadhi iliyo ardhini ama ambayo imeisha chimbwa! Naomba msada wa uelewa!Mnamo mwaka 2018, Serikali ya Tanzanua ilichapisha Sheria za Madini zilizofuta leseni zote za uhifadhi zilizotolewa kabla ya 2018, huku leseni zote za uhifadhi mara moja zikarudishwa Serikalini
Bado unaandika vitu vya kijinga..Usitafute justifications za kitoto kwa mifano isiyokua na maana.Sasa kama umevunja mkataba unaokoa matililioni hiyo bilioni 200 ni kitu gani?
Yani umevunja mkataba ukalipa elfu 1 kama faini kisha ukaokoa elfu 10 hapo hiyo elfu 1 ni kitu gani?
Wakati mwingine jitahidi kuficha upumbavu wako. Lisu ndiye aliwatuma kuvunja mkataba kinyume na mlivyokubaliana? Kila madudu yenu mnasingizia Lisu, mtasema mengi ila hamtudanganyi tena!Hapa sio mahakamani lakini hiyo Kesi Lisu anahusika kuifungua ili waipige nchi pesa wagawaΓ±e hela
Hivi ukiondoa neno "we" maana inaharibika? Sorry siijui hii lugha sana...But we as Tanzanians we shall prevail
KabisaaaChadema hao
Namsubiri Pascal Mayalla aje na utetezi wake kwa niaba ya KabudiKampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini Mashariki mwa Tanzania.
Mzozo huu unadaiwa kutokana na maamuzi ya mwaka 2017 yaliyofanywa na Serikali ya Tanzania ya kurekebisha Sheria ya Madini, kwa kuondoa msingi wa Sheria kwa uanishaji wa leseni ya uhifadhi bila kuchukua nafasi mbadala ya uanishaji huo.
Mnamo mwaka 2018, Serikali ya Tanzanua ilichapisha Sheria za Madini zilizofuta leseni zote za uhifadhi zilizotolewa kabla ya 2018, huku leseni zote za uhifadhi mara moja zikarudishwa Serikalini.
Mradi wa Ntaka ni moja ya miradi inayodaiea kuathiriwa na maamuzi hayo.
Mwezi Januari mwaka huu (2029) kampuni ya Indiana Resources ilitoa taarifa ya mzozo kwa serikali ya Tanzania na sasa imeomba suluhisho kutoka kwa Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Mizozo ya Uwekezaji (ICSID).
βTumefanya kazi kwa bidii zaidi ya miezi sita iliyopita kujiandaa kufungua maombi yetu ya suluhisho na ICSID na kuweka makadirio ya thamani ya madai ya fidia kwa unyakuaji wa mradiβ alisema Mwenyekiti wa Kampuni hiyo, Bronwyn Barnes.
βUwasilishaji wa maombi yetu ya usuluhishi, rasmi unaanza mchakato huo na sasa tutajiandaa kuwasilisha madai yetu kwa ajili ya fidia kwa upotevu wa mali na uharibifu uliotokana na kitendo cha Serikali ya Tanzania.
βPamoja na ufadhili wa madai ili kusaidia gharama zote za kisheria zinazohusu usuluhishi, tunaweza kuendelea kujiandaa kwa ajili ya usuluhishi tukiwa tunajua kwamba maslahi ya wanahisa yamelindwa kikamilifu na hawatopata hasara yoyote zaidi katika kutafuta fidia.β
==================
Mining Weekly | 30 September 2020
Indiana lodges $95m claim against Tanzania
By: Esmarie Iannucci
PERTH ASX-listed Indiana Resources has lodged a $95-million compensation claim against the government of Tanzania over the "illegal expropriationβ of the Ntaka Hill nickel project.
The dispute arose from a 2017 decision by the Tanzanian government to amend the Mining Act, abolishing the legislative basis for the retention licence classification, without replacing this classification.
In 2018, the government published Mining Regulations cancelling all retention licences issued prior to 2018, with all the retention licences immediately transferred back to the government.
The Ntaka Hill project was one of the projects affected by this decision.
Indiana Resources in January this year delivered a notice of dispute to the Tanzanian government, and has now requested arbitration with the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID).
βWe have worked diligently over the past six months to prepare to lodge our request for arbitration with the ICSID and place an estimate on the value of the claim for compensation for the expropriation of the project,β said executive chairperson Bronwyn Barnes.
βThe lodgment of our request for arbitration formally commences the arbitration process and we will now prepare to present our full claim for compensation for the loss of the asset and damage resulting from the actions of the Tanzanian government.
βWith litigation funding in place to support all legal costs relating to arbitration, we can proceed to prepare for arbitration knowing that shareholdersβ interest have been fully protected and will not incur any further losses in seeking compensation.β
Source: Indiana lodges $95m claim against Tanzania
PIA SOMA: Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba
Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini Mashariki mwa Tanzania.

Pamoja na anayeshitakiwa ni Serikali ya CCM, Polepole ni kilaza kama wewe wala hajui kinachoendelea kuhusu hili wala Serikali haitataka ajiingize huko maana kuna watu wameajiriwa kufafanua au kujibu hoja za kisheria kama hizo. Bahati mbaya sana huko CCM wamejaa wajinga ambao wanajaribu kuwalinda viongozi wa Serikali ambao ni wanachama wenzao ili wafikiriwe kupata uteuzi kumbe wanawaharibia mpaka waonekane majuha kama wao mbele ya jamii. Serikali ina uwezo wa kujibu lolote kuhusu madeni yake bila kuwatumia vilaza kama hawa wa humu mitandaoni ambao hata hayo madini hawayajui. Dr Hassan Abbas ndo msemaji wa Serikali inayoshitakiwa.Polepole ataliyolea ufafanuzi hili. Mbona jambo rahisi sana