Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

Ndege gani iliokamatwa? Mbona ndege zote tunazo wenyewe, Dreamliner, Airbus na mabombardier yote yapo TZ kiroho safi. Au tangu Uhuru afungue Bar mmeanza kulewa chakari kiasi mkawa hamjielewi? Maana Kenya Bar ni muhimu kufunguliwa kuliko Shule.
 
Miaka 5 tu kaishaimaliza nchi. Madeni/ugomvi/maneno/chokochoko/hali ngumu/sheria hazifuatwi/watu kuuliwa/watu kupotea/majirani kutuchukia. Kila siku ni matatizo tu.

Haya matatizo tanzania ya kila siku na yasio isha ni ishara mungu anaongea na sisi, ila watu wanajifanya vichwa ngumu kuelewa.

Akipewa miaka 5 mingine, atailawiti kabisa nchi.
 
Dictator wetu hana elimu
Dictator wetu anawaza umbali wa mita moja tu
Dictator wetu hana weledi na mambo ya kuongoza nchi, yeye alizoea kuchunga ng'ombe usukumani
Dictator wetu ni uchwara
 
Bora umeliona hilo jirani yetu, Waambie hao wenye mahaba feki waelewe. Mtu anapiga magoti ya kinafiki kuomba kura ili aonekane mnyenyekevu akipata anasema tusimpangie au hapangiwi na mtu nini cha kufanya. Kwa upande mwingine kodi tunalipa sisi huku anasema hatatupa maendeleo kwa kuchagua mbunge au diwani anayetufaa, hapohapo anasema maendeleo hayana chama, ajabu sana.
 
Kwani kabudi ameshasemaje?

Ukiwa tajiri hukosi vikesi vya kudaiwa fidia maana hata wazungu wanajua sisi ni donor country basi tu mambo madogomadogo yanatukwamisha.
Ndio mwanzo mwingine wa kukamatiwa ndege zetu
 
Kumekucha!!
 
Kuna mambo mengine yanaumiza mioyo.Kufukia mtu akiwa hai Ni Jambo la kikatili kuliko ukatili wenyewe
 
Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.

Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
Tafiti zimesomba mno madini yetu,zinasombwa kontena kwa kisingizio cha utafiti lakini ndani yake kuna madini kuanza upya si ujinga ila ni kujifunza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania is a dead state. Ule mkulima aliyekamata ndege South Africa walilipa au bado? Then this..
TANZANIA IS A DEAD STATE
Huyo jamaa alifanya ATCL apigie routes za South Africa goodbye😂😂
 
Kwanza tumrudishe mradi wa gas kwa state oil
Ya Norway ndiyo mambo yetu yatanyooka
 
Dictator wetu hana elimu
Dictator wetu anawaza umbali wa mita moja tu
Dictator wetu hana weledi na mambo ya kuongoza nchi, yeye alizoea kuchunga ng'ombe usukumani
Dictator wetu ni uchwara
ndio kwa maana toka kitambo nilishasema hapa kwamba huyu bwana hAfAI.
 

Haya yote alishayasema Lissu. Serikali ikaleta ubabe. Jiwe anaiua hii nchi. Mrundi mwenye uelewa mdogo.
 
Hehhehe Lissu ndo mbaya wetu: alisikika lofa mmoja wa lumumba huku akijiburuza ukuta huu kwenda ule
 
Sasa
we jinga kweli kweli.... washitaki zitalipwa na baba yako? Hizi ni hela zetu, kodi zetu znatumika kulipa upuuzi ambao ungeliweza kuepukwa

Mwigulu aliyepewa uwaziri wa Sheria anaweza kuyamudu haya!!!! Jiwe chagua mawaziri kuendesha wizara kufuatana na weledi wao sio kutokana na ndoto unazoota ukilala!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…