Ndege gani iliokamatwa? Mbona ndege zote tunazo wenyewe, Dreamliner, Airbus na mabombardier yote yapo TZ kiroho safi. Au tangu Uhuru afungue Bar mmeanza kulewa chakari kiasi mkawa hamjielewi? Maana Kenya Bar ni muhimu kufunguliwa kuliko Shule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umeliona hilo jirani yetu, Waambie hao wenye mahaba feki waelewe. Mtu anapiga magoti ya kinafiki kuomba kura ili aonekane mnyenyekevu akipata anasema tusimpangie au hapangiwi na mtu nini cha kufanya. Kwa upande mwingine kodi tunalipa sisi huku anasema hatatupa maendeleo kwa kuchagua mbunge au diwani anayetufaa, hapohapo anasema maendeleo hayana chama, ajabu sana.Miaka 5 tu kaishaimaliza nchi. Madeni/ugomvi/maneno/chokochoko/hali ngumu/sheria hazifuatwi/watu kuuliwa/watu kupotea/majirani kutuchukia. Kila siku ni matatizo tu.
Haya matatizo tanzania ya kila siku na yasio isha ni ishara mungu anaongea na sisi, ila watu wanajifanya vichwa ngumu kuelewa.
Akipewa miaka 5 mingine, atailawiti kabisa nchi.
Ndio mwanzo mwingine wa kukamatiwa ndege zetuKwani kabudi ameshasemaje?
Ukiwa tajiri hukosi vikesi vya kudaiwa fidia maana hata wazungu wanajua sisi ni donor country basi tu mambo madogomadogo yanatukwamisha.
Kumekucha!!Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini Mashariki mwa Tanzania.
Mzozo huu unadaiwa kutokana na maamuzi ya mwaka 2017 yaliyofanywa na Serikali ya Tanzania ya kurekebisha Sheria ya Madini, kwa kuondoa msingi wa Sheria kwa uanishaji wa leseni ya uhifadhi bila kuchukua nafasi mbadala ya uanishaji huo.
Mnamo mwaka 2018, Serikali ya Tanzanua ilichapisha Sheria za Madini zilizofuta leseni zote za uhifadhi zilizotolewa kabla ya 2018, huku leseni zote za uhifadhi mara moja zikarudishwa Serikalini.
Mradi wa Ntaka ni moja ya miradi inayodaiea kuathiriwa na maamuzi hayo.
Mwezi Januari mwaka huu (2029) kampuni ya Indiana Resources ilitoa taarifa ya mzozo kwa serikali ya Tanzania na sasa imeomba suluhisho kutoka kwa Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Mizozo ya Uwekezaji (ICSID).
“Tumefanya kazi kwa bidii zaidi ya miezi sita iliyopita kujiandaa kufungua maombi yetu ya suluhisho na ICSID na kuweka makadirio ya thamani ya madai ya fidia kwa unyakuaji wa mradi” alisema Mwenyekiti wa Kampuni hiyo, Bronwyn Barnes.
“Uwasilishaji wa maombi yetu ya usuluhishi, rasmi unaanza mchakato huo na sasa tutajiandaa kuwasilisha madai yetu kwa ajili ya fidia kwa upotevu wa mali na uharibifu uliotokana na kitendo cha Serikali ya Tanzania.
“Pamoja na ufadhili wa madai ili kusaidia gharama zote za kisheria zinazohusu usuluhishi, tunaweza kuendelea kujiandaa kwa ajili ya usuluhishi tukiwa tunajua kwamba maslahi ya wanahisa yamelindwa kikamilifu na hawatopata hasara yoyote zaidi katika kutafuta fidia.”
==================
Mining Weekly | 30 September 2020
Indiana lodges $95m claim against Tanzania
By: Esmarie Iannucci
PERTH ASX-listed Indiana Resources has lodged a $95-million compensation claim against the government of Tanzania over the "illegal expropriation” of the Ntaka Hill nickel project.
The dispute arose from a 2017 decision by the Tanzanian government to amend the Mining Act, abolishing the legislative basis for the retention licence classification, without replacing this classification.
In 2018, the government published Mining Regulations cancelling all retention licences issued prior to 2018, with all the retention licences immediately transferred back to the government.
The Ntaka Hill project was one of the projects affected by this decision.
Indiana Resources in January this year delivered a notice of dispute to the Tanzanian government, and has now requested arbitration with the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID).
“We have worked diligently over the past six months to prepare to lodge our request for arbitration with the ICSID and place an estimate on the value of the claim for compensation for the expropriation of the project,” said executive chairperson Bronwyn Barnes.
“The lodgment of our request for arbitration formally commences the arbitration process and we will now prepare to present our full claim for compensation for the loss of the asset and damage resulting from the actions of the Tanzanian government.
“With litigation funding in place to support all legal costs relating to arbitration, we can proceed to prepare for arbitration knowing that shareholders’ interest have been fully protected and will not incur any further losses in seeking compensation.”
Source: Indiana lodges $95m claim against Tanzania
PIA SOMA: Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba
Kuna mambo mengine yanaumiza mioyo.Kufukia mtu akiwa hai Ni Jambo la kikatili kuliko ukatili wenyeweTundu Lissu hajawahi kuwa zuzu kiasi hicho. Uzuzu wa namna hiyo unafanywa na CCM, rejea serikali ya CCM ilivyowazika hai wachimbaji wadogo wa dhahabu kule Bulyanhulu. Ni Tundu Lissu ndiye aliyesimama kidete kuwashitaki wawekaji ambao walikuwa wanakingiwa kifua na serikali ya CCM.
CCM ni chama Cha kiboya Sana, yaani kinaua watu wake kwa kuwafukia wakiwa hai, ili kipore ardhi yao na kuwapa wazungu.
Ni aibu Sana kuwa mwana CCM
Tafiti zimesomba mno madini yetu,zinasombwa kontena kwa kisingizio cha utafiti lakini ndani yake kuna madini kuanza upya si ujinga ila ni kujifunza.Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.
Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
Huyo jamaa alifanya ATCL apigie routes za South Africa goodbye😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania is a dead state. Ule mkulima aliyekamata ndege South Africa walilipa au bado? Then this..
TANZANIA IS A DEAD STATE
Miaka 5 tu kaishaimaliza nchi. Madeni/ugomvi/maneno/chokochoko/hali ngumu/sheria hazifuatwi/watu kuuliwa/watu kupotea/majirani kutuchukia. Kila siku ni matatizo tu.
Haya matatizo tanzania ya kila siku na yasio isha ni ishara mungu anaongea na sisi, ila watu wanajifanya vichwa ngumu kuelewa.
Akipewa miaka 5 mingine, atailawiti kabisa nchi.
Dictator wetu hana elimu
Dictator wetu anawaza umbali wa mita moja tu
Dictator wetu hana weledi na mambo ya kuongoza nchi, yeye alizoea kuchunga ng'ombe usukumani
Dictator wetu ni uchwara
ndio kwa maana toka kitambo nilishasema hapa kwamba huyu bwana hAfAI.Bora umeliona hilo jirani yetu, Waambie hao wenye mahaba feki waelewe. Mtu anapiga magoti ya kinafiki kuomba kura ili aonekane mnyenyekevu akipata anasema tusimpangie au hapangiwi na mtu nini cha kufanya. Kwa upande mwingine kodi tunalipa sisi huku anasema hatatupa maendeleo kwa kuchagua mbunge au diwani anayetufaa, hapohapo anasema maendeleo hayana chama, ajabu sana.
Hujielewindio kwa maana toka kitambo nilishasema hapa kwamba huyu bwana hAfAI.
CCM oyeeeKuna mambo mengine yanaumiza mioyo.Kufukia mtu akiwa hai Ni Jambo la kikatili kuliko ukatili wenyewe
Huu msukule ndio yule XXXX niliyekutana naye Mbezi BeachIf this is an Indian investor ..then ATCL isahau kupeleka dirimulainaaa mumbai isikamatwe tena. Aibu ya East Africa .![]()
Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini Mashariki mwa Tanzania.
Mzozo huu unadaiwa kutokana na maamuzi ya mwaka 2017 yaliyofanywa na Serikali ya Tanzania ya kurekebisha Sheria ya Madini, kwa kuondoa msingi wa Sheria kwa uanishaji wa leseni ya uhifadhi bila kuchukua nafasi mbadala ya uanishaji huo.
Mnamo mwaka 2018, Serikali ya Tanzanua ilichapisha Sheria za Madini zilizofuta leseni zote za uhifadhi zilizotolewa kabla ya 2018, huku leseni zote za uhifadhi mara moja zikarudishwa Serikalini.
Mradi wa Ntaka ni moja ya miradi inayodaiea kuathiriwa na maamuzi hayo.
Mwezi Januari mwaka huu (2029) kampuni ya Indiana Resources ilitoa taarifa ya mzozo kwa serikali ya Tanzania na sasa imeomba suluhisho kutoka kwa Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Mizozo ya Uwekezaji (ICSID).
“Tumefanya kazi kwa bidii zaidi ya miezi sita iliyopita kujiandaa kufungua maombi yetu ya suluhisho na ICSID na kuweka makadirio ya thamani ya madai ya fidia kwa unyakuaji wa mradi” alisema Mwenyekiti wa Kampuni hiyo, Bronwyn Barnes.
“Uwasilishaji wa maombi yetu ya usuluhishi, rasmi unaanza mchakato huo na sasa tutajiandaa kuwasilisha madai yetu kwa ajili ya fidia kwa upotevu wa mali na uharibifu uliotokana na kitendo cha Serikali ya Tanzania.
“Pamoja na ufadhili wa madai ili kusaidia gharama zote za kisheria zinazohusu usuluhishi, tunaweza kuendelea kujiandaa kwa ajili ya usuluhishi tukiwa tunajua kwamba maslahi ya wanahisa yamelindwa kikamilifu na hawatopata hasara yoyote zaidi katika kutafuta fidia.”
==================
Mining Weekly | 30 September 2020
Indiana lodges $95m claim against Tanzania
By: Esmarie Iannucci
PERTH ASX-listed Indiana Resources has lodged a $95-million compensation claim against the government of Tanzania over the "illegal expropriation” of the Ntaka Hill nickel project.
The dispute arose from a 2017 decision by the Tanzanian government to amend the Mining Act, abolishing the legislative basis for the retention licence classification, without replacing this classification.
In 2018, the government published Mining Regulations cancelling all retention licences issued prior to 2018, with all the retention licences immediately transferred back to the government.
The Ntaka Hill project was one of the projects affected by this decision.
Indiana Resources in January this year delivered a notice of dispute to the Tanzanian government, and has now requested arbitration with the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID).
“We have worked diligently over the past six months to prepare to lodge our request for arbitration with the ICSID and place an estimate on the value of the claim for compensation for the expropriation of the project,” said executive chairperson Bronwyn Barnes.
“The lodgment of our request for arbitration formally commences the arbitration process and we will now prepare to present our full claim for compensation for the loss of the asset and damage resulting from the actions of the Tanzanian government.
“With litigation funding in place to support all legal costs relating to arbitration, we can proceed to prepare for arbitration knowing that shareholders’ interest have been fully protected and will not incur any further losses in seeking compensation.”
Source: Indiana lodges $95m claim against Tanzania
PIA SOMA: Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba
we jinga kweli kweli.... washitaki zitalipwa na baba yako? Hizi ni hela zetu, kodi zetu znatumika kulipa upuuzi ambao ungeliweza kuepukwa
Haya yote alishayasema Lissu. Serikali ikaleta ubabe. Jiwe anaiua hii nchi. Mrundi mwenye uelewa mdogo.