wapata post...mganga maji marefu kutoka tanga,anatibu shida za boma.kweli tz inakuja kwa kasi mpaka inaexport waganga.hahahaaaYeah national disaster tz ni mushrooming growth ya wachawi wanao hamia kenya
Kila mahali mganga toka mbeya tanzania sign kwa highway kenya
Hawa ni vijana wa kibela mkuu!Mimi sipitagi hili jukwaa ila sikuwahi kujuwa kama kuna Wakenya wapuuzi wa kiwango ninachokiona humu kwenye hii thread.
Sina haja ya kumkashifu mtu nina rafiki zangu Wakenya hawana akili za kipumbavu kama nyang'au zinazoandika pumba humu.
Lakini hizo ni signs za kwa road, have you visited them to ascertain their origin?Yeah national disaster tz ni mushrooming growth ya wachawi wanao hamia kenya
Kila mahali mganga toka mbeya tanzania sign kwa highway kenya
when you are born in that society you will just find yourself embracing it...in kenya its just survival for the fittest.Too be Kenyan is individualism in every aspect y.....? Guys!
Aisee nyie watu mnadharau sana no wonder rais wenu alisema nyie ni Taifa la wezi na uncle Mugabe akagongea msumari as sad as it sounds you just prove to me nyang'au will always be nyang'au ni kama kula nyama ya mtu vile hamuwezi kuacha.uhalisia nikuwa kampuni ya tz imenunuliwa na ya kenya..one step in the ryt direction.mwisho tuwanunue mpaka watz
mbona wasema ivyo mkuu...hizi ni jokes banaAisee nyie watu mnadharau sana no wonder rais wenu alisema nyie ni Taifa la wezi na uncle Mugabe akagongea msumari as sad as it sounds you just prove to me nyang'au will always be nyang'au ni kama kula nyama ya mtu vile hamuwezi kuacha.
It seems like huwajui wakenya vizuri. We may disagree on many aspects of our social, political, and economic livelihoods but when it comes to kenya as a country we are all one. In other words kenya is bigger than all of us.Nyie wakenya pambaneni na ukabila wenu kwanza ni ugonjwa mbaya sana huu ambao watanzania hatuna, hii ni disqualification ya nyie kuwasogelea watz achilia mbali ndoto za hapo juu!
Imeanza lini hii mkuu?! Toroitchi aliwapa jeuri wakalenjini wote kila mmoja akawa anajiita zirikali, hata leo national election inaanikizwa na u luo na u kikuyu!It seems like huwajui wakenya vizuri. We may disagree on many aspects of our social, political, and economic livelihoods but when it comes to kenya as a country we are all one. In other words kenya is bigger than all of us.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]wapata post...mganga maji marefu kutoka tanga,anatibu shida za boma.kweli tz inakuja kwa kasi mpaka inaexport waganga.hahahaaa
Kuwa mpole basi umeambiwa kweli unarukaruka tuu...Khaa!! Ndio unajidanganya hivyo.
Naona ni kiwango gani ulivyo mshamba na usivyo na exposure.
Unajua sisi wa TZ hatufuatilii kabisa issue zenu za Kenya. Nyie kucha kutwa. Mara kilimajaro ipo kenya mara olduvai ipo kenya mara diamond ni mkenya. Mara daraja la Nyerere lipo kenya.
Huu ni ushamba. Fanyeni yenu.
Pumba hii. Kajipange uje tena.In kenya no one know anything about tanzania we only know magufuli kikwete and mkapa
But ask any tanzania
Who is Duale and what position does he hold and where does he rep? They will tell you
Ask them who is ruto they will tell you
Kidero
Joho
Kuria
They live and eat kenya this people i dont know any tanzanian apart from Magufuli Diamond Alikiba Vanessa mdee(who has lived in kenya for 10yrs with Namtero ) and probably few othe musicians
Now keep on dreaming...Hata martin luther king had a dream 50yrs later it came true
Putin had a dream about Ukraine and it came true
Hehehe kimbaa sana hawa. Na mahindi maziwa yamefungiwa sasa ni legal ways tuu wezi sana majamaa.Ona misifa ya kikenya, ya kishambaaa. Eti in Kenya no one knows anythn abt Tz, unajuaje hili, una access ya souls za wakenya ama.
Live and eat Kenya? Wananchi wenyu wanakimbilia kuja kuishi na kufanya kazi Tz na mahindi mnakula inatokea Tz. Unabonga nini hapa.
Wachaga ujinga aisee.
We jamaa wacha pumbaa eti every one in dar yaani ni sawa niseme kila jamaa hapo kwenu ni shoga basi haya bisha.Whatever statement makes you sleep well tonight! Post it!
We know otherwise !
Angalia tu watanzania wanao angalia masuala hapa Kenya news section and i think otherwise
Console urself with that but for me its true i dont know any one else on the tanzanian govemt but i bet every one in Dar knows kenya ambasador to TZ
Its funny mnavyofikiria Tanzanians.... Anyway tuchukulie that was just a jokeIn kenya no one know anything about tanzania we only know magufuli kikwete and mkapa
But ask any tanzania
Who is Duale and what position does he hold and where does he rep? They will tell you
Ask them who is ruto they will tell you
Kidero
Joho
Kuria
They live and eat kenya this people i dont know any tanzanian apart from Magufuli Diamond Alikiba Vanessa mdee(who has lived in kenya for 10yrs with Namtero ) and probably few othe musicians
kiwanda kinabaki hapa wanainject mtaji mambo yanakwenda .ndio mpango mzima.Ningependa kujua wanahamisha Kiwanda ktk TZ yetu au kinabakia TZ?