Kampuni ya Kenya yanunua kiwanda cha Tanzania

This is good news

My dream is buy one factory in Tz

Hongereni wanunuaji
 
Kitu kimoja waTz mjue kampuni mengi kutoka Kenya yakijaga TZ kununua au kufugua office sio mali ya wakenya wazawa. Mara nyingi zinakuwa kambuni tanzu kutoka kampuni nyingine kubwa za nchi nyingine. Wasiwatoe povu kwa vitu ambavyo siyo vyao.
 
Lakini hizo ni signs za kwa road, have you visited them to ascertain their origin?
Hapo Taita Taveta... wanaongoza kwa kubaka kuku na mbuzi kwa imani za kishirikina. Mabango yamewekwa kila sehemu.

BTW hii wanawake wa kenya kuwatwanga wanaume mpaka kukata korodani zao... ni imani ya kishirikina au wanaume wa kenya wamezidiwa nguvu??
 

The only things we know about Kenya is Nairobi and Mombasa town.The other thing we know is ugly and aggressive Kenyans women who slap their men/husband. However, I offer you a completely fair question: who the hell exactly are these people? Despite how weird these names look, it’s weird that Kenyan people think we know much about Kenya.Between 20 Tanzanian only six will tell the real name of Kenyan President the rest will name Daniel Arap Moi as Kenyan president.
 
So this is how Kenyans tell each other? or your medias/politicians/ambassador tells you? it is totally bu****shit.I even don't know where the hell Kenyan Embassy is located here in TZ.
 
Kumbe kuna channel inaitwa Citizen? Ni ya katuni au??
Yaani ukienda kwenye forum zao utashangaa fantasy zao na wanavyojipa matumaini eti tunajua sana kuhusu Kenya.Lbda wao EATV na AZAM TV ndio zinakimbiza huko kwao.
 
Nadhani wakenya wapuuzi puuzi wanaoandika humu wana wivu wa kike tu TZ inashirikiana na wakenya vizurii na hata hiko kiwanda walichonunua kuna mazingira mazuri tu yametengenezwa faida kubwa itabaki tz zaidi ya yote tunawaajiri katika hoteli zetu na wanaleta sana wateja wa nje hawa wapige kelele serikali yao iwasomeshe vizurii sisi tuwatumie
 
Pumbavu mnaombea tupigane kama nyinyi!? hilo halitatoke kamwe kwa sabau kwenye mentality ya WA-TZ hakuna ujinga kama huo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji33]
 
Pumbavu mnaombea tupigane kama nyinyi!? hilo halitatoke kamwe kwa sabau kwenye mentality ya WA-TZ hakuna ujinga kama huo.

Huyu chalii wa ajabu, ni nyang'au OG, nimemsoma kitambo sana. Akisikia Tz imelipuka atashangilia uchi. Nishamwambiaga dua la kuku kamwe halitompata mwewe. Tusiwalaumu sana lkn, nadhani wana matatizo mengi sana inabidi wanachannel hizo hasira mahali pengine. Juzi aliringishia zile energy drinks za azam ndio bidhaa bora kapata nunua from Tz. Niga doesn't want to sleep, imagine de stress...
 
Nguvu wapate wapi wanalala kwenye chang'aa na kushindia mudhokoli na milungi?!
 
Myself i know nothing about Kenya! I just hear that is one among E.A countries!!
 
Ningependa kujua wanahamisha Kiwanda ktk TZ yetu au kinabakia TZ?
Swali zuri sana hili, kiukweli ningekuwa mi ndo MK254 nisingeanzisha huu uzi, ni pigo kubwa sana kwa nchi moja kwenda fungua kiwanda nchi nyingine hasa hizi nchi zetu za afrika mashariki maana wafaidika wakubwa wa moja kwa moja mahali kiwanda kilipo. Najua jamaa alileta uzi akijua Kenya ina-win alafu Tz ina-lose, kumbe sivyo!
 

barafuyamoto Tatizo lenu na kinachowasumbua mnaangalia kila kitu kiushabiki na ushindani. Leo hii makampuni ya Uingereza ndio yanaongoza kwa uwekezaji Bongo, ina maana Uingereza hainufaiki kwa chochote katika uzalishaji na faida. Hili ni suala la kunufaika sote, japo Bongo itanufaika zaidi, inafaa mchangamkie sio kueneza chuki na kulialia kwa majungu.

Naomba ukipata fursa kapige darasa kuhusu costs and benefits analysis of both home country and host country in FDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…