Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 738
- 1,230
Habari wadau
Nimekuwa nikisafirisha vitu kutoka kenya kuleta tanzania. Mara kwa mara wamekuwa wakini charge 2500 ya kenya sawa na tsh5500 hv ya kusafirisha vimizigo vyangu ila ikifika huku dar shekilango wananidai tena kulipia elf40 au 50 nyingine niwape wao mkononi kwamba mzigo haujalipiwa boarder. Mara zote natoa hii pesa ila round hii imekuwa tofauti hata nimeshindwa kutoa pesa na kudai mzigo urudishwe kenya. Sababu ni hii
1. Mzigo umetumwa siku ya ijumaa ila kidia hawakuusajili kwenye pos mashine mpaka kufikia siku ya jumatatu. Siku ya Jumatatu mkenya aliyeutuma ofisi za kidia ali rejea kujua mzigo umefikia wap mbn sms pia hajapata ndio wakakukatia risit ya kielektronik na mimi huku tanzania nikapolea sms kuwa mzigo tyr umepokelewa kidia na unasafirishwa.
Mzigo ulitarajia kufika Dar es alaam -shekilango siku ya j4 na kama kawaida ukifika huwa napokea sms kuwa msigo umefika nikafuate ila mpaka kufikia alhamisi sms haijaja. Nikawapigia kidia wahudumu wa2. M1 akasema mzigo haujatoka kenya kwa sababu pale ofisi ya mizigo inakofikia hakuna ushahidi wa hyo namba ya mzigo na kwenye computer zao zinaonesha haujafika kwao (hawajausajili kama mizigo iliyofika) wapili akasema mzigo upo ila kuna mtu ameushikilia na haupo hapo ofisi ya mizigo (shekilango) umefichwa kwasababu konda aliyekuwa kwenye basi la kidia hilo lililousafirisha amelipia hela yake ya kuvuka mpaka (pesa ya boarder) na anataka elf40 arudishiwe na sio kwa kupewa ofisini ni kumtumia kwenye simu kisha yeye akishapokea pesa ndio atasema nikaufate wapi mzigo. Hii sio kara ya 1 kutaka hyo pesa ya mpakani ni wanabadirishaga digit tu kuna wakati wanataka 50,000, 40000 wakati mwingine hadi 180,000 hizi nlikuwa nalipa kwasababu nilikuwa napokea message kutoka kidia kuwa mzigo upo ofisi ya kidia shekilango japo sms haisemi kama nadaiwa peza ya boarder
mkanganyiko niliyoupata
1. Mzigo umetumwa kupitia kampuni ya kidia one kutoka kenya kuja tanzania na mfumo wa kidia one pale shekilango (ofisi mizigo yote inapofikiwa) hakuna record za huu mzigo kupokelewa je inawezekanaje huyu mhudumu yeye aliupata akaupeleka sehemu nyingine nje ya ofisi kuuficha ili apewe hela je hii sio scam?
2. Nani mwenye wajibu wa kulipa pesa ya boarder je ni msafirishaji (kampuni ya kidiia one) kul kule boarder au mimi mpokeaji (nalipia kwa pesa ya mkononi kwenda mkononi baada ya mzigo kufika)?
3. Pesa ya boarder ni ya serikali aidha ya kenya au tanzania je ni sawa kuulipia mkononi kwenda mkononi sio kwa controll number na je haina risit au ushahidi kuwa mzigo umelipiwa hyo boarder fee?
Huyu +2556262405xx
ndio mhudumu wa kidia nmewasiliana naye akasema mzigo anao huyu 07461664xx na huyu aliyenao akasema nimpe ksh2000 sawa na 40 000 tsh hv nimtumie kwenye sm kisha aishapokea pesa atania niede wap nikafate mzigo (nikakabidhiwe mzigo nje ya ofisi).
Naomba mwenye namba za viongozi wa kampuni ya kidia hapa tanzania au kenya anitumie kwenye comment