Sema kweli Maryj😁😁 sa itakuwaje ndio nilikuwa najipanga nikakuchukulie IST yako kwa mkopoShida watu wanataka gari chap chap.
Kwamba peleka kianzio M6, urudi nyumbani na IST. Nyingine utalipa mdo mdo within 2yrs.
Bora hizo 2yrs utunze hizo hela mwenyewe tu,
Nunua gari ya hizo million 6 au vumilia ifike 8.5M upate gari zuri la kuanzia maisha utalifurahia kuliko kupewa gari mpya ya kuagiza ila ni kausha damu.Shida watu wanataka gari chap chap.
Kwamba peleka kianzio M6, urudi nyumbani na IST. Nyingine utalipa mdo mdo within 2yrs.
Bora hizo 2yrs utunze hizo hela mwenyewe tu,
Tujifunze kusoma mikataba na kuielewa. Kitu chochote ambacho ni lazima ama probability (mfano ongezeko la gharama za huduma) lazima kiwepo kipengele kitakachosomeka (i) ghrama za huduma zinaweza kuongezeka kulingana na mabadiliko ya soko la bidhaa/utoaji huduma. Mteja atalazimika kukubaliana na mabadiliko hayo. (ii) Bila kuathiri mkataba na kipengele (i) hapo juu, ongezeko la gharama halitazidi aslimia ! (kadhaa) kutoka katika jumla ya gharama iliyosainiwa wakati wa mkataba (iii) iwapo ongezeko litazidi asilimia tajwa hapo juu, mtoa huduma atalazimika kufidia bila kuathiri utoaji huduma kwa mteja.View attachment 3056960
Hii ni kampuni inaitwa Orbit Group Limited (Orbittz) inayoagiza magari kutoka nje ya nchi. Biashara hio inahusisha pia kutoa mkopo wa mpaka miaka miwili ili kukamilisha gharama ya gari.
Sasa hawa watu, kuna taarifa wanamficha mteja na wanakuja kukwambia baadae sana ambapo pengine unaweza kufikia uamuzi wa kutolichukua kabisa gari, na huku umeshatanguliza hela ya mwanzo, na ndio hapo matatizo.
Mfano, kuna ishu ilitokea (gari liliagizwa na kufika nchini) ambapo kwa makubaliano ya mwanzo, riba ya mkopo wa gari ilitakiwa iwe asilimia 3 kwa mwezi, kwa mkopo wa milioni 11, mchanganuo waliotoa ni kama huo hapo chini
View attachment 3056964
Ambapo kwa mwezi ningetakiwa nilipe 650,000 tsh. Lakini, gari lilivofika nchini, wakanitaarifu kua riba imebadilika na kua asilimia 4.5 kwa mwezi, wakanipa mchanganuo mpya ambapo ningetakiwa nilipe 830,000 tsh kwa mwezi.
View attachment 3056965
Ukiachilia mbali mabadiliko hayo, taarifa nyingine ni kwamba mkopo ule una gharama yake na pia gari inatakiwa ilipiwe premium, ambayo ikawa kama milioni 1.3 nyingine kutoka mfukoni.
View attachment 3056967
Baada ya kufikia uamuzi wa kukataa mabadiliko haya na kuomba hela niliyolipa awali irudi, ndipo wakaanza kuzunguka. Mara wanasema mpaka gari iuzwe ndio walipe.
Na pia zaidi ya hapo. Wakaendelea kusema kwenye ile hela ya awali. Watakata gharama yao ya kuagiza gari.
Ingawa nilikubaliana na yote hayo. Bado wameendelea kuzunguka na mpaka hivi sasa kuna kesi ya madai inaendelea mahakamaini kurudisha hio hela.
Hivyo huu uzi uwe ni tahadhari kwa mtu ambae yuko kwenye hatua ya kutaka kufanya biashara na hawa jamaa. Jua kwamba sio waaminifu.
Na huu uzi sio kwamba ninaandika kuharibia biashara, hapana. Hii hapa ni screenshot ya chat na namba yao, ambayo pia wameeka kwenye ukurasa wao wa Instagram.
View attachment 3056985
Niliusoma mkataba vizuri sana na haya yote hayakusemwa. Ni kwamba hawa watu wamekuja kubadilika kwa maneno makavu bila kufuata mkataba waliouandika wenyewe. Na ingawa wanajua kua wamekosea na wanatakiwa kurudisha hela, ambapo hata mwanasheria wao ambae ndie ameweka mhuru kwenye mkataba amewashauri hilo, wanazunguka zunguka. Ninavosema kua ni matapeli, ni matapeli kweli!Tujifunze kusoma mikataba na kuielewa. Kitu chochote ambacho ni lazima ama probability (mfano ongezeko la gharama za huduma) lazima kiwepo kipengele kitakachosomeka (i) ghrama za huduma zinaweza kuongezeka kulingana na mabadiliko ya soko la bidhaa/utoaji huduma. Mteja atalazimika kukubaliana na mabadiliko hayo. (ii) Bila kuathiri mkataba na kipengele (i) hapo juu, ongezeko la gharama halitazidi aslimia ! (kadhaa) kutoka katika jumla ya gharama iliyosainiwa wakati wa mkataba (iii) iwapo ongezeko litazidi asilimia tajwa hapo juu, mtoa huduma atalazimika kufidia bila kuathiri utoaji huduma kwa mteja.
Na iwapo mtoa huduma atakiri kwamba hakuna gharama fiche, lazima iwepo kipengele kwenye mkataba kinachozuia ongezeko la aina yoyote ile la gharama. Na iwapo mtoa huduma atakiuka, alazimike kulipa fidia pamoja na kurudisha gharama zote za mteja.
Mkataba unatakiwa uwe win win situation na sio kupelekwa kwa maneno matamu wakati maandishi hayaoneshi
sasa kama kulikiwa na 'contractual agreement' kwa nini usiuze kesi kwa kina kibatala au msando?Mkataba upo na ulisigniwa na una mhuri wa mwanasheria. Na mpaka kumpata mwanasheria nilikaza sana ili nijilinde kisheria. Nadhani hawa jamaa ni watu ambao wanachukulia vitu poa tu.
Kama hayapo kwenye mkataba, jitahidi uwe na wakiki mzuri asiye na tamaa.Niliusoma mkataba vizuri sana na haya yote hayakusemwa. Ni kwamba hawa watu wamekuja kubadilika kwa maneno makavu bila kufuata mkataba waliouandika wenyewe. Na ingawa wanajua kua wamekosea na wanatakiwa kurudisha hela, ambapo hata mwanasheria wao ambae ndie ameweka mhuru kwenye mkataba amewashauri hilo, wanazunguka zunguka. Ninavosema kua ni matapeli, ni matapeli kweli!
Pole sana mkuu!View attachment 3056960
Hii ni kampuni inaitwa Orbit Group Limited (Orbit tz) inayoagiza magari kutoka nje ya nchi. Biashara hio inahusisha pia kutoa mkopo wa mpaka miaka miwili ili kukamilisha gharama ya gari.
Sasa hawa watu, kuna taarifa wanamficha mteja na wanakuja kukwambia baadae sana ambapo pengine unaweza kufikia uamuzi wa kutolichukua kabisa gari, na huku umeshatanguliza hela ya mwanzo, na ndio hapo matatizo.
Mfano, kuna ishu ilitokea (gari liliagizwa na kufika nchini) ambapo kwa makubaliano ya mwanzo, riba ya mkopo wa gari ilitakiwa iwe asilimia 3 kwa mwezi, kwa mkopo wa milioni 11, mchanganuo waliotoa ni kama huo hapo chini
View attachment 3056964
Ambapo kwa mwezi ningetakiwa nilipe 650,000 tsh. Lakini, gari lilivofika nchini, wakanitaarifu kua riba imebadilika na kua asilimia 4.5 kwa mwezi, wakanipa mchanganuo mpya ambapo ningetakiwa nilipe 830,000 tsh kwa mwezi.
View attachment 3056965
Ukiachilia mbali mabadiliko hayo, taarifa nyingine ni kwamba mkopo ule una gharama yake na pia gari inatakiwa ilipiwe premium, ambayo ikawa kama milioni 1.3 nyingine kutoka mfukoni.
View attachment 3056967
Baada ya kufikia uamuzi wa kukataa mabadiliko haya na kuomba hela niliyolipa awali irudi, ndipo wakaanza kuzunguka. Mara wanasema mpaka gari iuzwe ndio walipe.
Na pia zaidi ya hapo. Wakaendelea kusema kwenye ile hela ya awali. Watakata gharama yao ya kuagiza gari.
Ingawa nilikubaliana na yote hayo. Bado wameendelea kuzunguka na mpaka hivi sasa kuna kesi ya madai inaendelea mahakamaini kurudisha hio hela.
Hivyo huu uzi uwe ni tahadhari kwa mtu ambae yuko kwenye hatua ya kutaka kufanya biashara na hawa jamaa. Jua kwamba sio waaminifu.
Na huu uzi sio kwamba ninaandika kuharibia biashara, hapana. Hii hapa ni screenshot ya chat na namba yao, ambayo pia wameeka kwenye ukurasa wao wa Instagram.
View attachment 3056985
maneno tu hayo hata kwenye kanga yapo. sa hv ukiwa na m4 cash unapata gar imenyooka kabisa.Pole sana mleta mada.
Lakini ndugu yangu, kwanini kuhangaika na kitu ambacho bado hujawa na uwezo nacho? kumbuka, if you cant buy it twice, you dont afford it
Familia zenye mawakili nguli hizo huduma wanazipata buree kabisaa..Maisha ya siku hizi ni muhimu sana kuwa na mwanasheria akuongoze na kukushauri katika kusainishana mikataba ya manunuzi na kuuza maana ujanja utapeli umekuwa mwingi sana.
maneno tu hayo hata kwenye kanga yapo. sa hv ukiwa na m4 cash unapata gar imenyooka kabisa