Kampuni ya kutengeneza Chip za Kompyuta ya Intel Corp kusitisha huduma zake Urusi

Kampuni ya kutengeneza Chip za Kompyuta ya Intel Corp kusitisha huduma zake Urusi

Nyie hamjui Urusi wana chipu zao zina spidi mara 1000 ya hizo intel sasa ngoja Putin azitoe😀
 
nimeamini duniani kuna binadamu wenye thamani na ambao ni kama takataka tu aise ...
 
Unamjua mchina au unamsikia , usije ukajidanganya ukakosana na mtu ukitegemea mchina atakutoa kwenye shida , hao mamwamba Wana degree ya unafiki.

Wanakuacha hvi hvi unajifia , hata hvyo China hawez kwenda tofaut by [emoji817] na Sera za Marekani , South Korea ni mtoto wa USA, North Korea hata usimzungumzie huyo ni maskini wa kutupwa in term of technology
Acha uongo ndugu hao korea kaskazini wapo mbali mno kwa tecnolojia
 
Mkuu China alizimiwa mtandao wa Android tu akatapatapa, akasema ataanzisha wa kwakwe mpaka leo, Marekani alifanikiwa sana ku-invest ulimwenguni miaka kibalo iliyopita sasa anapeta tu., yeye ndio mwenye sukani

Mpaka leo Huawei ikabak kopo, na kampun ikaanza biashara ya nguruwe, ule mradi wake wa 5G ukayeyuka mkwala mmoja tu wa Trump
 
Wanazo ila technology ni ya hao Wamarekani,kwa hiyo huwezi kumuuzia mtu aliewekewa vikwazo na Marekani. Jiulize kwanini Huawei ilikufa.
Nasikia siku hizi wamebadilisha taaluma eti wamehamia kwenye ufugaji wa nguruwe 🐷 🤣🤣🤣
 
Lin Huawei ilikufa? ivi nyie mnakuwaga na akili gani Huawei haijawai kufa na haitakufa kilochotokea ni kupungua Kwa mapato sababu ya vikwazo vya marekani Ila bado ipo na shuguli zake zinaenda na wanakuja na operating system Yao ambayok inashaanza kufanya kazi kwenye cm zao baada ya Google kuwakatia android system na bado shughuli zao kwenye mawasiliano ya mitandao ya cm inaendelea kwenye nchi ambazo hazijapata shinikizo la marekani
Wewe una akili timamu kweli,utauza soko lipi simu ambayo haina Android au iOS?
 
Back
Top Bottom