Kampuni ya kutengeneza Chip za Kompyuta ya Intel Corp kusitisha huduma zake Urusi

Nyie hamjui Urusi wana chipu zao zina spidi mara 1000 ya hizo intel sasa ngoja Putin azitoe😀
 
nimeamini duniani kuna binadamu wenye thamani na ambao ni kama takataka tu aise ...
 
Acha uongo ndugu hao korea kaskazini wapo mbali mno kwa tecnolojia
 
Mkuu China alizimiwa mtandao wa Android tu akatapatapa, akasema ataanzisha wa kwakwe mpaka leo, Marekani alifanikiwa sana ku-invest ulimwenguni miaka kibalo iliyopita sasa anapeta tu., yeye ndio mwenye sukani

Mpaka leo Huawei ikabak kopo, na kampun ikaanza biashara ya nguruwe, ule mradi wake wa 5G ukayeyuka mkwala mmoja tu wa Trump
 
Wanazo ila technology ni ya hao Wamarekani,kwa hiyo huwezi kumuuzia mtu aliewekewa vikwazo na Marekani. Jiulize kwanini Huawei ilikufa.
Nasikia siku hizi wamebadilisha taaluma eti wamehamia kwenye ufugaji wa nguruwe 🐷 🤣🤣🤣
 
Wewe una akili timamu kweli,utauza soko lipi simu ambayo haina Android au iOS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…