wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Hata ukijua haitakusaidia. Punguza jazba na tafuta hela.Tunaulizia Kodi inalipwa halali?
Kumbe inasemekanaππππππ acha wivu wa kimaskiniKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafra leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali
Hapo unajiona umeongea point .Hata ukijua haitakusaidia. Punguza jazba na tafuta hela.
Ni sawa na mtu ukimkuta bar anatumia milion moja kunywea pombe, ukaanza kuuliza huyu mtu anatumia mshahara wake halali kweli...
Kwanini unahisi hailipwi kihalali kodi?Tunaulizia Kodi inalipwa halali?
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafra leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali.
Yaani muibe tu musiulizwe.Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
ππππππYaani muibe tu musiulizwe.
Umasikini mbaya sana. Utakuta kuna mtu kanuna kisa jamaa kanunua mabasi 100.Yaani muibe tu musiulizwe.
Kuliko kuficha mapesa ughaibuni na kuishia kupotea, ni heri mafisadi wenye uthubutu wa kuwekeza hapa nchini na kuongeza ajira na vitega uchumi vingi.Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafra leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali