DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tunaulizia Kodi inalipwa halali?
Hata ukijua haitakusaidia. Punguza jazba na tafuta hela.

Ni sawa na mtu ukimkuta bar anatumia milion moja kunywea pombe, ukaanza kuuliza huyu mtu anatumia mshahara wake halali kweli?

NB: Hapa duniani kuna watu wanaishi na wengine wanapigania ili waishi. Punguza makasiriko, tafuta hela
 
images (69).jpeg
 
Yaani muibe tu musiulizwe.
😁😁😁😁😁😁
Mtu kanunua mabasi mia. Unajua basi moja ni shilingi ngapi? Basi zote zitapata plate number na zitaingia barabarani.
Wewe huko ulipo hata bando la buku kununua linakutoa jasho kwa kupunguza stress unahoji. Achunguzwe?
Tafuta pesa, hayo mambo mengine piga kimya waachie wenye nchi.
Inakubidi ushangilie maana ajira za madereva zitaongezeka.
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafra leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali
Kuliko kuficha mapesa ughaibuni na kuishia kupotea, ni heri mafisadi wenye uthubutu wa kuwekeza hapa nchini na kuongeza ajira na vitega uchumi vingi.
 
Back
Top Bottom