Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
TRAB na TRAT ishafanya kazi.
Yani unastaajabu mpishi kupata minofu zaidi ya nyama.
Yani unastaajabu mpishi kupata minofu zaidi ya nyama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo shida ni nini, matajiri ni watu muhimu sana watatoa ajira nyingi. Tuwapende matajiri basj moja lina dereva, kondakta, turn boy, wakala, meneja bado mpiga debe. Hiyo basi moja tu. Ila wapunge ms-YutongKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Ukiwa kwenye ofisi za umma ushindwe kufanya biashara? Unajua amefanya nini mpk kuweza kununua mabasi 100?Tangu neno Chawa liasisiwe mwaka 2016 hadi leo hii, Watanzania wamepungukiwa uwezo wa kupambana na Ufisadi.
Yaani mtu anapata Utajiri akiwa ofisi ya Umma lakini watu hawaoni shida.
Mbona Nyerere amehudumu miaka almost 24 kama Rais wa Nchi lakini hatujawahi kusikia akihusishwa na Utajiri wowo
Uongo hakuna Yutong ya 800milKampuni ya ester ni ya nnauye na walamba asali wenzio mkuuuu
Acha wivu tafuta hela na basi 1 ni 800M
Mara 200 ni 160B hiyo ni ushirika wa walamba asali nguli 7 hapo
#utajiri haupatikani kwa kulalamika chapa kazi#
[emoji16]
Na wamempa Mwigulu sababu Mke wake anaitwa EstherStory za kwenye kahawa
Siyo kwa nchi za kiafrika. Tafuta hela na hakikisha familia yako inaishi maisha mazuri.
Unafikiri zile milion 5 za magoli ya Simba na Yanga, mama yako anatoa mfukoni kwake?
Tutafute pesa, tuache makasiriko.
Nadhani umeacha kutumia ubongo wako mkuu.Unaishi na huyo mtu nyumban kwako mpaka ulize pesa kapataje?
Hapo kazini kwako, hebu iba na wewe utajirike tuone.
Punguza makasiriko, tafuta hela mkuu
Mbaya sana mwezangu anafanikiwa unaanza kumlongaUna akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Wapi kazingumziwa Madilu sasaHivi SI wachaga Hawa...
Najiulozaha mwigulu kaingiaje
Sikatai Mkuu, ila viongozi wengi wa Umma utajiri wao umetokana na kuiba mali za Umma.Na wewe unadhani biashara ina operate hivyo? Kuwa tajiri ni bahati jumlisha weledi na umahiri wa ku-take risk. Tunaweza tukafungua duka la nguo leo la aina moja na mtu mwingine. Mie nikawa na advantage ýa location na pia security nikakopa benki biashara yangu ikakuwa mara 5 ya mwenzangu. Hapo haimaanishi mimi ni mwizi ila nime-play smart.
Mabasi ya Esther yapo muda mrefu na kukua kwa kampuni hiyo kuna vitu vingi na kuna wanahisa wengi. Huwezi kuongelea mshahara wa mtu mmoja wakati kampuni ni limited by shares.
Mie ni mtumishi wa umma ninayefanya biashara pia. Nashauri tuondokane na mentality ya aliyefanikiwa ni mwizi wengine wame-take risk wamefanikiwa
Kama unaona Wizi wa mali za Umma ni ufahari basi tumelogwa.Ukiwa kwenye ofisi za umma ushindwe kufanya biashara? Unajua amefanya nini mpk kuweza kununua mabasi 100?
Nyie ndiyo wale wazee wenye mentality ya umasikini mnaotegemea mshahara mpk kufa kwenu na mkiona mtu yupo ofisi na anafanya biashara ni mwizi. Hapo ofisini kwako hebu na wewe iba ununue mabasi 100 tuone.
Tafuta hela mkuu, acha makasiriko
Hahaaa sijui,niambie..na ruti zake kwa kila basiSasa 200 ni nyingi?,Unajua abood ana mabasi mangapi?
Hiyo inamilikiwa na waziri wa fedha wa awamu ya sita mwenye kiburi na majivuno na mmiliki klabu ya Singida Big StarsKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halaBli?
Ndio tatizo hapa lilipp imagine we unaagiza gari Ist japan kwa Million 8 , ushuru na tozo zingine kuitoa bandarini inacost another 7 million , total 15 million , juzi kuna mzee wa TRA anadai zimeingia costa 218 , zote hazijakatiwa ushuru mana ni za mzee wa msoga na zinaenda nchi za watu ..... Alafu jitu tuu linakuja et punguza wivu tafta hela , yaani ukiwa karbu unaweza litemea hata mateNi hivi mtu yeyote akiwa na fursa ya kukwepa Kodi biashara za usafirishaji zinalipa sana .
Lakini watu wa kawaida wanaolipa Kodi biashara ya mabasi inalipa lakini Kwa muda mrefu.
Ndio maana wakubwa wakianza biashara za malori na mabasi wanapata faida haraka haraka Kwa sababu wengi wanakweepa Kodi.
Mfano Mtu wa chini au mnyonge aliyeuza korosho zake kule kijijini ananunua Bajaji pamoja na Kodi zake Kwa Bei ya mil. 8 . Hapo kumbuka anatakiwa akajisajiki LATRA, Ushuru wa forodha, Kukamatwa na TRAFIKI na faini kila siku.
Mil. 8 atairejesha kwa tabu sana.
Lakini Mtu akinunua Bajaji India bila ushuru haufiki hata mil tatu. Akiindesha Kwa kukwepa Kodi na akawa hakamatwi na TRAFIKI Kwa kusumbuliwa mana anajulikana na ni kigogo mkubwa Bajaji hiyo itanunua Bajaji mbili Kwa mwaka mmoja . Miaka Kumi atakua anamilika zaidi ya bajaj 200 . Baadae atasema kuwa watanzania ni wavivu hawafanyi kazi na wanapenda majungu na wanawivu na chuki. Mtu huyo Kwa kukwepa Kodi na kupata utajiri wa kutisha atasema kuwa watanzania wapambane na maisha yao waache kuchukia matajiri.
Kumbe hakuna mtu anayechukia matajiri Bali watu wanachukia Matajiri wanaotumia madaraka yao na umaarufu wao na rushwa kukwepa Kodi na matokeo yake maskini ndio wanalimbiliziwa Kodi na Tozo na kuumizwa ili nchi ipate fedha za miradi.
Basi la Yutong au Zhongton au Higer au malori ya Faw au HOWO bila Kodi na maushutu mangine ni Bei ndogo kuliko Coster yenye Kodi lukuki.
Sasa mtu akinunua mabasi manne yasiyo na makodi matozo Kwa miaka mtano anauwezo wa Kununua mabasi hata 100 bila Kodi.
Hata Pikipiki bila Kodi ni Bei rahisi sana . Tatizo kubwa la biashara za kuagiza BIDHAA nje ikiwemo magari ni Kodi na maushuru yake. Ukiweza kukwepa Kodi biashara zote za kuagiza BIDHAA Toka nje zinalipa na zinawatajirisha watu Kwa haraka sana.
Watu wengi wenye ndugu kwenye idara za Kodi na wakubwa SERIKALINI ndio wanaofanya biashara za kuagiza BIDHAA nje na zinalipa Kwa haraka kwani mbinu kubwa wanayotumia ni kukwepa Kodi.
Kwa hiyo watu wanaolalamikia baadhi ya wafanyabiashara wasipuuzwe kwani wanashindana na watu wenye mwanya wa kukwepa Kodi.
Biashara za Magendo na madawa ya kulevya zinawapa fedha nyingi sana wanye fursa za kuzifanya bila kushughulikiwa.
Ihujumiwe mara ngapi mkuu...Alafu ndo SGR iishe kweli? Lazima waihujumu ili izi bus zao zitembee
Kuhustle kwenye kujipimia tozo? wee jamaa unaonekana chawa wa walamba asali....Acheni fikra potofu endelea kuhustle kununua mabasi hutaona ni kuibia serikali
Kwani Kuna sheria ilivunjwa na Kakobe?Akiyataka mwenyewe angekaa kimya kingemsibu nini mdomo uliponza kichwa