DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bosi wao ‘Bi Tozo’ alishatoa kibali ni halali kugawa tender kwa malipo mradi contractor ana uwezo wa kumaliza kazi.

Kwenye kupigilia jeneza msumari akaweka na msisitizo PPRA ipunguze kiherehere cha chunguza sana merit za tender inawacheleweshea kazi.

Tetesi za mtaani mwenye hayo mabasi, mtaji ni kiinua mgongo cha tender ya SGR aliyowapa wachina. Chances are boss wao anafahamu kila kitu; kutesa kwa zamu.
 
Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Eti bwana...

Inawezekana mtu kapiga American Lottery Jackpot Bingo ya ONE BILLION DOLLARS..

Hii ilikuwaga tabia ya Jiwe a.k.a JPM. Ukionekana una pesa kuizidi serikali yake tu, basi wewe ni mwizi...!

Duuh, hii ilikuwa tabia mbaya ya Jiwe...

Bishop Zackary Kakobe wa Full Gospel Bible Fellowship Church [FGBFC] hatamsahau Jiwe...

Yaani aliposemaga tu yeye ana mahela kuliko serikali, mzee wa kazi Jiwe alipanikigi ile mbaya kiasi cha kuanza kushuku uraia wa muha wa Kakonko Mzee wetu Zakaria Kakobe..

Roho ya umasikini mbaya kwelikweli...!!

Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafra leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali
Wacha weee !!!
 
Hiyo sioo kampuni lele mama,na hawana mabasi tu,nikujuze wamiliki wa hiyo kampuni ndio hao wanamiliki Tilisho,ndio hao wanamiliki vituo vya kuuza mafuta vya Meru vyote unavyovijua,wana viwanda vya kuchakata vyakula vya binadamu kama mafuta ya kupikia,wana kampuni za madini,,sasa mabasi 200 ni kitu kidogo sana.

Tafuta pesa kuna vitu utavipuuza
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafra leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali
Basi zaidi ya 200!?..zitaenda ruti gani!?..muwe mnapunguza chumvi mbuzi nyie
 
Eti bwana...

Inawezekana mtu kapiga American Lottery Jackpot Bingo ya ONE BILLION DOLLARS..

Hii ilikuwaga tabia ya Jiwe a.k.a JPM. Ukionekana una pesa kuizidi serikali yake tu, basi wewe ni mwizi...!

Duuh, hii ilikuwa tabia mbaya ya Jiwe...

Bishop Zackary Kakobe wa Full Gospel Bible Fellowship Church [FGBFC] hatamsahau Jiwe...

Yaani aliposemaga tu yeye ana mahela kuliko serikali, mzee wa kazi Jiwe alipanikigi ile mbaya kiasi cha kuanza kushuku uraia wa muha wa Kakonko Mzee wetu Zakaria Kakobe..

Roho ya umasikini mbaya kwelikweli...!!

Akiyataka mwenyewe angekaa kimya kingemsibu nini mdomo uliponza kichwa
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Kampuni ya ester ni ya nnauye na walamba asali wenzio mkuuuu

Acha wivu tafuta hela na basi 1 ni 800M

Mara 200 ni 160B hiyo ni ushirika wa walamba asali nguli 7 hapo
#utajiri haupatikani kwa kulalamika chapa kazi#

😁
 
Eti bwana...

Inawezekana mtu kapiga American Lottery Jackpot Bingo ya ONE BILLION DOLLARS..

Hii ilikuwaga tabia ya Jiwe a.k.a JPM. Ukionekana una pesa kuizidi serikali yake tu, basi wewe ni mwizi...!

Duuh, hii ilikuwa tabia mbaya ya Jiwe...

Bishop Zackary Kakobe wa Full Gospel Bible Fellowship Church [FGBFC] hatamsahau Jiwe...

Yaani aliposemaga tu yeye ana mahela kuliko serikali, mzee wa kazi Jiwe alipanikigi ile mbaya kiasi cha kuanza kushuku uraia wa muha wa Kakonko Mzee wetu Zakaria Kakobe..

Roho ya umasikini mbaya kwelikweli...!!
Jiwe kapitia mengi na kawatesa wengi asee duuh 🤔

Kuna mwampos huyu ndo anampaka mabenki yake moshi huko
 
Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Mabasi Mia Ni hela ndefu bro, halafu huyo huyo ndio anakazia Mambo ya tozo.
 
Back
Top Bottom