Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Si kweli, Wachina wametuchelewesha sana kimaendeleo, watakuwa wameiga tu sehemu..Kampuni ya mabasi ya Yutong ya China yazindua malori mazito ya umeme na mabasi yasiyo na dereva
Kampuni ya mabasi ya Yutong ya China imeitisha mkutano na wanahabari mjini Zhengzhou, nchini China, ili kuzindua bidhaa zake mpya zinazotumia nishati safi yakiwemo malori mazito ya umeme na mabasi yasiyo na dereva, na kutoa wito kwa umma kuzingatia uhifadhi wa mazingira na kukumbatia usafiri wa kijani.
View attachment 2652131View attachment 2652136
Hawana tekelinanolokujia lolote, sisi ni Ulaya na USA ndiyo superpowers wetu wa ukweli.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app