Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
aaah voda hawana lolote, yani wanatuma meseji eti offer kabambe 1GB kwa 2,000 masaa 24.
hivi hamuwaoni wenzenu 2GB kwa 2,000 siku tatu?
Hasara Umfika Mwenye Mabezo
mbavu zanguKm 500 kwa ndege =340,000
Km 500 kwa basi =30,000
aaah voda hawana lolote, yani wanatuma meseji eti offer kabambe 1GB kwa 2,000 masaa 24.
hivi hamuwaoni wenzenu 2GB kwa 2,000 siku tatu?
Hasara Umfika Mwenye Mabezo
maeneo ninayoishi na kufanya shughuli zangu mtandao wa tigo internet upo poa tu.Km 500 kwa ndege =340,000
Km 500 kwa basi =30,000
Choice is yours
Sent using Jamii Forums mobile app
CORRECTION: Vodacom Tanzania and WorldRemit launch mobile money transfers to M-Pesa accounts in Tanzania | Africanews
Vodacom Tanzania (https://www.Vodacom.co.tz/) has partnered with leading online money transfer service WorldRemit (https://www.WorldRemit.com) to enable ten million M-Pesa customers to receive money directly to theirwww.africanews.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si utumie hiyohiyo Tigo mkuumaeneo ninayoishi na kufanya shughuli zangu mtandao wa tigo internet upo poa tu.
na mimi natumia data bila wasi, sina shida za siku 3 nikamaliza chini ya muda.
voda wamekaza mnoo, mimi kwa kweli natumia voda kwa calls, mpesa
Hasara Umfika Mwenye Mabezo
Out of point kabisaaaah voda hawana lolote, yani wanatuma meseji eti offer kabambe 1GB kwa 2,000 masaa 24.
hivi hamuwaoni wenzenu 2GB kwa 2,000 siku tatu?
Hasara Umfika Mwenye Mabezo
Halafu hii mitandao ya simu kero tu! Kwanini walazimishe umalize GB ndani ya saa24?aaah voda hawana lolote, yani wanatuma meseji eti offer kabambe 1GB kwa 2,000 masaa 24.
hivi hamuwaoni wenzenu 2GB kwa 2,000 siku tatu?
Hasara Umfika Mwenye Mabezo