Kampuni ya mawasiliano ya vodacom imesaini mkataba na Remmit world

Kampuni ya mawasiliano ya vodacom imesaini mkataba na Remmit world

Ningependa kujua kwa uzuri jambo hili,.ikiwemo kuzijua hizo nchi kama inawezekana..
 
Kwenye vifurushi vya data kweli wamechemka sana,ila kwa hili la money transfer kupitia world remmit wamenipata
aaah voda hawana lolote, yani wanatuma meseji eti offer kabambe 1GB kwa 2,000 masaa 24.

hivi hamuwaoni wenzenu 2GB kwa 2,000 siku tatu?

Hasara Umfika Mwenye Mabezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km 500 kwa ndege =340,000
Km 500 kwa basi =30,000
Choice is yours

Sent using Jamii Forums mobile app
maeneo ninayoishi na kufanya shughuli zangu mtandao wa tigo internet upo poa tu.
na mimi natumia data bila wasi, sina shida za siku 3 nikamaliza chini ya muda.
voda wamekaza mnoo, mimi kwa kweli natumia voda kwa calls, mpesa

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Vodacom Tanzania and WorldRemit launch mobile money transfers to M-Pesa accounts in Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maeneo ninayoishi na kufanya shughuli zangu mtandao wa tigo internet upo poa tu.
na mimi natumia data bila wasi, sina shida za siku 3 nikamaliza chini ya muda.
voda wamekaza mnoo, mimi kwa kweli natumia voda kwa calls, mpesa

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
Sasa si utumie hiyohiyo Tigo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom