Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump

Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa!
---
MIAKA 4 KUKWEPA UTAWALA WA TRUMP

Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump.

Gharama ni $255,999 ( Zaidi ya milion 686 za Tz)kwa mtu mmoja kupata chumba chake mwenyewe kwa miaka minne, na $159,999 (Zaidi ya million 429 za Tz) kwa kila mtu kwa chumba cha watu wawili kwa miaka minne.
 
Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa!
Watu wameona fursa.

Akina obama na chama chake wamempaint trump kwa baadhi ya watu kuwa ni jitu fulani hivi baya. Ukisoma comments huko mtandaoni hasa za blacks influencers yani wanamfanya trump kama vile ni shetani au kama nchi imekabidhiwa kwa gaidi fulani hivi.

Kimsingi hawana hoja za msingi kama makosa kila zama hufanya makosa na ametawala US kwa miaka minne hakuna baya sana alilofanya.
 
Kama mtu unaweza kuwa na pesa nyingi ya kwenda kutumbua ktk meli ya kitalii unashindwa vipi kuwa na vibali vya kazi, ukaazi? Ama hizo pesa ni haramu mnauza figo za watu? Na kwanini ukimbie nchi ukalale baharini kama pweza kama si mualifu? Rudini nyumba mwekeze katika kilimo, miti, nyumba mifugo nk. Binadamu timamu huwezi ishi miaka nane baharini kama nyangumi ujinga huo pumbavu zenu.
 
Hao wazungu walishakuwa na hela hadi hawajui watumie vipi.
Hiyo meli imeshajaa na watu wanalaumu waandaaji kuweka bei ndogo
 
Americans pia wameficha pesa zao Uswis kama wa Africa?
Wengi sana. Americans wenye pesa wanapigwa kodi sana na TRA yao (IRS). Wengi hawapendi, wanaficha pesa zao nje.

Kuna nchi mbili tu duniani ambazo zinawatoza kodi raia wao wakiwa ndani au nje ya nchi. The United States of America and Eritrea.
 
Hayo yatakuwa mashoga yanaenda kuf1r@n@ huko baharini kwa kisingizio cha kumkwepa Trump.
 
Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa!
---
MIAKA 4 KUKWEPA UTAWALA WA TRUMP

Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump.

Gharama ni $255,999 ( Zaidi ya milion 686 za Tz)kwa mtu mmoja kupata chumba chake mwenyewe kwa miaka minne, na $159,999 (Zaidi ya million 429 za Tz) kwa kila mtu kwa chumba cha watu wawili kwa miaka minne.
Duh..
 
We kweli zwazwa,wanaohama ni wazungu wenyewe tena wengi ni chama pinzani.
Ngoma ubongo na tumbo havina ushirikiano anajiandikia tu dah ama kweli watz wote tukioewa mtihani tukaulizwa nchi yetu inaitwaje mwamba kama huyu atajibu trumph ameshinda hongera kwa ujinga
 
Back
Top Bottom