Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Watu wameona fursa.Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa!
Mtu anakula bata katikati ya bahari huko, ana mihela yake kaificha benki za Uswizi, rais anamtawalaje?Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa!
We kweli zwazwa,wanaohama ni wazungu wenyewe tena wengi ni chama pinzani.makobaz hayooo nyambafff kabisaa....yanaihama nchii....mwamba trump katinga kambinii
Americans pia wameficha pesa zao Uswis kama wa Africa?Mtu anakula bata katikati ya bahari huko, ana mihela yake kaificha benki za Uswizi, rais anamtawalaje?
Wengi sana. Americans wenye pesa wanapigwa kodi sana na TRA yao (IRS). Wengi hawapendi, wanaficha pesa zao nje.Americans pia wameficha pesa zao Uswis kama wa Africa?
InterestingWengi sana. Americans wenye pesa wanapigwa kodi sana na TRA yao (IRS). Wengi hawapendi, wanaficha pesa zao nje.
Kuna nchi mbili tu duniani ambazo zinawatoza kodi raia wao wakiwa ndani au nje ya nchi. The United States of America and Eritrea.
Duh..Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa!
---
MIAKA 4 KUKWEPA UTAWALA WA TRUMP
Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump.
Gharama ni $255,999 ( Zaidi ya milion 686 za Tz)kwa mtu mmoja kupata chumba chake mwenyewe kwa miaka minne, na $159,999 (Zaidi ya million 429 za Tz) kwa kila mtu kwa chumba cha watu wawili kwa miaka minne.
Wewe utabaki kuitwa kafiri tuu kazi kula vya kunyongwa tuumakobaz hayooo nyambafff kabisaa....yanaihama nchii....mwamba trump katinga kambinii
Ngoma ubongo na tumbo havina ushirikiano anajiandikia tu dah ama kweli watz wote tukioewa mtihani tukaulizwa nchi yetu inaitwaje mwamba kama huyu atajibu trumph ameshinda hongera kwa ujingaWe kweli zwazwa,wanaohama ni wazungu wenyewe tena wengi ni chama pinzani.
Miaka 6 ukiumwa je? Si lazma urudi nchi kavu uende Muhimbili😄Hata mimi ningekuwa na uwezo ningechukua safari ya miaka 6 kwenye hiyo meli kukwepa utawala wa sa100