Mchezo unaisha pale refa anapopuliza filimbi, filimbi ilipo pulizwa Anina alikuwa amesha ishiwa pumzi. Haijalishi alipata kura nagapi au alifanya nini, mwisho wa siku ameshidwa na ameshidwa kwa hoja zahifu tuu, alikuwa pale kutetea maslahi ya watu wachache. Wala haikuwa kazi kubwa kwa akina "fulani" kuingiza mguu na kuharubu kila kitu. Nashagaa Amina anaanza kuleta mambo ya ukabila, oh francophone mara Anglophone anajisahau kwamba hayuko kwenye local Kenya election. Marafiki wanapunguwa, you guys under jubilee watu wanawakwepa.