Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute na huyo Kariuki amechua uraia wa UKWakenya kwa kujishauwa tuu, mpo juu sana, sasa hii kamapuni ya uwingereza Kenya ina faidika vipi? Kwakuwa mkenya ni share holder au?
Amina kauliza unata Chair AU,mbona nchi yako inajenga waya kutenganisha na Somalia,kaachia tu mdomo waziMchezo unaisha pale refa anapopuliza filimbi, filimbi ilipo pulizwa Anina alikuwa amesha ishiwa pumzi. Haijalishi alipata kura nagapi au alifanya nini, mwisho wa siku ameshidwa na ameshidwa kwa hoja zahifu tuu, alikuwa pale kutetea maslahi ya watu wachache. Wala haikuwa kazi kubwa kwa akina "fulani" kuingiza mguu na kuharubu kila kitu. Nashagaa Amina anaanza kuleta mambo ya ukabila, oh francophone mara Anglophone anajisahau kwamba hayuko kwenye local Kenya election. Marafiki wanapunguwa, you guys under jubilee watu wanawakwepa.
Huyu mama, alikuwa napanda mlima kinyume nyume. Kulikuwa hakuna sababu ya yeye kushindaAmina kauliza unata Chair AU,mbona nchi yako inajenga waya kutenganisha na Somalia,kaachia tu mdomo wazi