Kampuni ya Mkenya kujenga kiwanda cha gesi Msumbiji

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mr Kariuki’s firm GL Africa Energy, which is based in the UK, will build and operate the 250-megawatt gas-powered plant in northeastern Mozambique.

The gas concession is the second foray into the Southern Africa energy sector for GL Africa, which was established in 2013. It is also the operator of a 103 megawatt thermal power plant in Ndola, Zambia.

“GL Africa Energy UK is among three firms that have been selected from 14 firms that originally bid for the natural gas development projects in the Ruvuma gas basin.

Norway’s Yara will produce fertilisers and 30-50 MW of electricity, while Shell Mozambique will produce diesel and 50-80MW of power,” the National Petroleum Institute of Mozambique said in a statement.

Commissioning date

The Mozambican agency did not indicate the expected date of commissioning of the new plant, with the gas fields that will supply the commodity to the power firms still under development.

The Kenyan tycoon maintains interests in a large number of well-known Kenyan businesses, which include oil marketer Dalbit Petroleum, Africa Spirits Limited, WOW Beverages, Fairmont Mount Kenya Safari Club and the Hub Mall in Karen.

He was also the owner of a popular Nairobi eatery, Green Corner Restaurant.

His oil firm Dalbit has operations in a number of other African countries including Tanzania, DR Congo, Zambia and South Sudan.

The businessman has also been entangled in controversy in the past, most notably when he was pulled into the Charterhouse Bank controversy in January 2001 after the Central Bank of Kenya froze the account of a business he owned — Crucial Properties Limited — due to a large inward transfer of Sh2 billion.

Mr Kariuki maintained the legitimacy of the large transfer, saying it was part of a $150 million package the company had negotiated with international lenders to be invested in Kenya.

The firm withdrew up to Sh1.6 billion from the account after the High court lifted the account freeze orders five months later.
 
Wakenya kwa kujishauwa tuu, mpo juu sana, sasa hii kamapuni ya uwingereza Kenya ina faidika vipi? Kwakuwa mkenya ni share holder au?
 
Wakenya kwa kujishauwa tuu, mpo juu, sasa hii kamapuni ya uwingereza? Kenya ina faidika vipi? Kwakuwa mkenya ni share holder au?
Na bado mtakoma.
 
Mr Kariuki’s firm GL Africa Energy, which is based in the UK, will build and operate the 250-megawatt gas-powered plant in northeastern Mozambique.

The gas concession is the second foray into the Southern Africa energy sector for GL Africa, which was established in 2013. It is also the operator of a 103 megawatt thermal power plant in Ndola, Zambia.

“GL Africa Energy UK is among three firms that have been selected from 14 firms that originally bid for the natural gas development projects in the Ruvuma gas basin.

Norway’s Yara will produce fertilisers and 30-50 MW of electricity, while Shell Mozambique will produce diesel and 50-80MW of power,” the National Petroleum Institute of Mozambique said in a statement.

Commissioning date

The Mozambican agency did not indicate the expected date of commissioning of the new plant, with the gas fields that will supply the commodity to the power firms still under development.

The Kenyan tycoon maintains interests in a large number of well-known Kenyan businesses, which include oil marketer Dalbit Petroleum, Africa Spirits Limited, WOW Beverages, Fairmont Mount Kenya Safari Club and the Hub Mall in Karen.

He was also the owner of a popular Nairobi eatery, Green Corner Restaurant.

His oil firm Dalbit has operations in a number of other African countries including Tanzania, DR Congo, Zambia and South Sudan.

The businessman has also been entangled in controversy in the past, most notably when he was pulled into the Charterhouse Bank controversy in January 2001 after the Central Bank of Kenya froze the account of a business he owned — Crucial Properties Limited — due to a large inward transfer of Sh2 billion.

Mr Kariuki maintained the legitimacy of the large transfer, saying it was part of a $150 million package the company had negotiated with international lenders to be invested in Kenya.

The firm withdrew up to Sh1.6 billion from the account after the High court lifted the account freeze orders five months later.

Nilifikiri ni Kenyan based company, kumbe siyo, sasa Kenya kama nchi inafaidika nini hapa? Kwa maana kama ni Kodi itaenda Uingereza na Msumbiji!
 
Haya mambo huyawezi kuelewa maana diaspora wenu wakiondoka huenda nje kubeba mabox na kazi zingine za kawaida, hivyo hawana mchango wowote kwa taifa. Sisi wakwetu ukiona takwimu za remittances zao utashangaa, maana wakitoka nje wanafanya vitu vya kweli kama kujenga viwanda.
 
Si media zenu zimetupa jina la wazee wa sabotage . Simu moja tuu, na dili yote inaigia maji. [emoji23]

Wewe unafikiria Msumbiji wana ule upuzi wenu wa kuongea mambo ya undugu. Wao wanafuata maslahi na wala hawana muda huo, hata kama huwa mnasema mliwapa uhuru, hayo yalikua yenu ya kujikombakomba kwao lakini kwa dunia ya leo wapo kimaslahi zaidi.
 
Wakati mkiwa mmelala usingizi mnono, kuna watu wanapita kimya kimya na kuchomowa waya zenu za matumaini. Wazungu wanasema "don't mess with the messer"
 
Michezo ya hivyo hatujaanza jana na tumeicheza tangu enzi za mababu. Kenya ni kainchi kadogo, nusu yake kame tupu, lakini kanaongoza Afrika Mashariki na Kati kiuchumi, kielimu, kimichezo, kijeshi na kila kitu ikiwemo uwekezaji wa ndani na nje.
Kenya ipo ndani ya nchi kumi bora kiuchumi Afrika yote, imeshinda majitu makubwa makubwa yenye kila aina ya raslimali na ardhi kubwa zenye rotuba. Sasa unafikiria hayo ya kuvuta waya yanatutisha leo, sisi ni wapambanaji, wasakaji, tunakomaa hadi kinaeleweka.
Tunakuachia unavuta waya ukifikiria kwamba umetuweza lakini haujui tunakuona tu, na kwamba mchezo wote tumekuandalia sisi.
 
Ngoja nipite kimyakimya maana mtoa maada ananitafuta maneno
 
Haha, hayo ndio yanakupa usingizi wa usiki, unenda kulala huku ukifikiria mambo yote yako sawa. Uchaguzi wa AU umekuonjesha yalio vichwani mwa waafrika wengine, na wachomowa waya wapo hawalali (hapa kazi tuu).
 
Great Lakes Africa energy inamilikiwa na Mkenya. Ata Kama kampuni iko London ni ya mkenya. Wacheni wivu nyinyi
 
Haha, hayo ndio yanakupa usingizi wa usiki, unenda kulala huku ukifikiria mambo yote yako sawa. Uchaguzi wa AU umekuonjesha yalio vichwani mwa waafrika wengine, na wachomowa waya wapo hawalali (hapa kazi tuu).

Hehehe! Ndio zenu, yaani umekaa hapo ukidhania kwamba nyie ndio mlisababisha Amina kushindwa, yaani kwa jinsi huwa mnajishaua hadi aibu. Siasa za pale zilikua zaidi ya uwezo wenu, au unafikiria haya ni yale yenu ya CCM. Hii ni level tofauti

kwa kweli nimepata fahari kuona Amina kafikisha hapo hata kama hakuibuka mshindi, ngoma yote ilikua high voltage politics na sina haja ya kukupa analysis yake maana hujafikia level ya kuelewa mambo haya, mama Mkenya huyo kabana hadi mchezo ukaingia raundi ya saba huku washindani dhaifu wote wakitupwa mbali kuleee.
 
Mchezo unaisha pale refa anapopuliza filimbi, filimbi ilipo pulizwa Anina alikuwa amesha ishiwa pumzi. Haijalishi alipata kura nagapi au alifanya nini, mwisho wa siku ameshidwa na ameshidwa kwa hoja zahifu tuu, alikuwa pale kutetea maslahi ya watu wachache. Wala haikuwa kazi kubwa kwa akina "fulani" kuingiza mguu na kuharubu kila kitu. Nashagaa Amina anaanza kuleta mambo ya ukabila, oh francophone mara Anglophone anajisahau kwamba hayuko kwenye local Kenya election. Marafiki wanapunguwa, you guys under jubilee watu wanawakwepa.
 
Uchunguzi unaonyesha hii kamapuni ni ya kwenye mikoba tuu, kama waingereza wanavyo onyesha kwenye mitandao yao.

cf6f737c20ea60e64bedebaf22f0da1e.jpg

b55770a21dcb6239688212931ac42fd9.jpg

£1 ?????

785c8eb481348b6144803e799d970755.jpg

Great Lakes Africa Energy Limited

GREAT LAKES AFRICA ENERGY LIMITED - Overview (free company information from Companies House)
 
Back
Top Bottom