Waache kelele sasa za GSM anaharibu ligiWaseme ukweli mapema. Wamedhamini au wanamiliki hiyo team kama inavyomilikiwa simba
Ajitahidi adhamini angalau timu nane"Leo tunatangaza kwa furaha kubwa ushirikiano rasmi kati ya MO na Klabu ya Coastal Union kwa msimu wa 2025/2026!
Kwa MO, kauli mbiu yetu imekuwa daima: Tunagusa Maisha Yako.
Na leo, dhamira hiyo inapanuka zaidi tunaposimama bega kwa bega na moja ya timu kubwa kabisa nchini.
Kupitia MO Taifa Detergent na vinywaji vyetu vya MO, hatujadhamini tu mpira wa miguu—tunagusa nyumba, tunagusa jamii, tunaleta matumaini kwa vizazi vijavyo".