Kampuni ya Mtandaoni ya LBL inayojihusisha na matangazo ya biashara siyo Utapeli?

Status
Not open for further replies.

Ditex

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
284
Reaction score
887
Habari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada.

Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu

Leo burnett London (LBL) wanakupa task mbalimbali ikiwemo hii ambayo unatakiwa kutazama movie na kuzitolea review ambapo utalipwa kutokana na movie ulizoangalia.

Kabla hujaanza kazi unatakiwa kuweka kiasi cha pesa ambacho kinaanzia Tsh. 50,000 kwa level ya chini mpaka mpaka Tsh. 540,000 kwa level ya juu, na mapato yako yataenda kutokana na kiwango ulichoweka pesa.
 
Habari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada.

Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu

IELEWE LBL

[emoji746][emoji746]TANZANIA ADVERTISING MEDIA LIMITED
[emoji746][emoji746]

[emoji736]LBL Imeanza tangu mwaka 1967

[emoji736]LBL
kirefu chake ni Leo burnett London

[emoji3534]Hapa Tanzania imeingia mwaka huu mwezi wa pili baada ya kualikwa na serikali yetu ya jamuhuri ya Muunguano wa Tanzania. Baada ya usajili na kukamilisha taratibu zote ikaanza kufanya kazi rasmi mwezi wa saba mwaka huu

[emoji3534] LBL inafanyaje kazi.
Kumbuka ni kampuni inayohusiana na utangazaji. Ni kampuni iliyobobevu duniani.
1. Makampuni mengi makubwa ya filamu dunia. Wale wapenzi wa movie mtaelewa hili. Mfano.
[emoji302] *Paramount,
[emoji302]20th century Fox,
[emoji302] destiny* ,
[emoji302]Warner Brothers,
[emoji302]DreamWorks picture,
[emoji302]Universal Picture
[emoji302]MGM Picture na mengine mengi
Yameweka ubia na kampuni ya LBL isaidie kutangaza matangazo yao ya movie na filamu ili yawafikie watu wengi duniani.
Hivyo basi ili kampuni ya LBL ifanye jukumu hilo vyema wakaona iajiri watu wengi ambao watatazama matangazo ya movie na hapo idadi ya watu wengi itafikiwa. Ndo mana inasisitiza kualika watu zaidi

[emoji617] _Baada ya muda wanapeleka kwa makampuni na kuwaonesha mfano:...........
_
[emoji302]*PARAMOUNT * movie yako hii imetazamwa na watu milioni 10.5 mwezi huu.( Utakuta walikubaliana hivi kwamba Kila viewers mmoja( mtu mmoja aliyetazama) Lbl watalipwa Dola 1. Hebu jaribu kuchukua Dola 1 × mil 10.5 LBL wanaingiza. Kwanini wasirudishe fadhira. Hivyo kampuni ya LBL inachukua 60-80% na kulipa wafanyakazi waliosaidia kuongeza viewer. Hivyo ndivy LBL Inavyofanya kazi.

[emoji736]UZOEFU
_Wengi wetu twajua nyakati hizi wengi hupata pesa Kwa mitandao.

_Wanamziki mbalimbali huingiza fedha YouTube kwa kuwa tu na viewers wengi.

_Waimbaji wa kwaya na waandishi mbalimbali wanaingiza fedha Kwa kuwa tu na viewers wengi

[emoji2768]Note vipi wewe unayetazama kazi zao unalipwa ? Au unagharamika bando lako?

[emoji3534]LBL UNAPOVIEW video hawakuachi hivihivi. Kwasababu wanajali ikiwa tunawaingizia fedha nyingi sana basi wakaona nasi tupate kifuta jasho. Ambacho kwetu kinathamani Kubwa, kwa level tofauti kama ifuatavyo........... [emoji116]

[emoji2389] P1 LEVEL

_[emoji746]Ukiweka 50,000
[emoji746]Unapewa picha 5 za kuangalia
[emoji746]Kila picha unalipwa 335
[emoji746]Kwa siku unalipwa 1675
[emoji746]Kwa mwezi unalipwa 50250
[emoji746]Kwa mwaka 611,375 /=_

[emoji2390] P2 LEVEL

[emoji746]Ukiweka 150,000
[emoji746]Unapewa Picha 10 za kuangalia
[emoji746]Kila picha unalipwa 500
[emoji746]Kwa siku unalipwa 5000
[emoji746]Kwa mwezi 150,000
[emoji746]Kwa mwaka 1,825,000
[emoji746]Hivyo 150,000 itakuwa imezaa sh 1,675,000

[emoji2391]P3 LEVEL
[emoji746]Ukiweka 540,000
[emoji746]Unapewa picha 15 za kuangalia
[emoji746]Kila picha unalipwa 1200
[emoji746]Kwa siku unalipwa 18000
[emoji746]Kwa mwezi 540,000
[emoji746]Kwa mwaka 6,570,000
[emoji746]Hivyo 540,000 IELEWE LBL

[emoji746]Hivyo 540,000 itakuwa imezaa 6,030,000 /

[emoji3585]Kujiunga na LBL * ni bure kabisaa ila ili uwe mwajiriwa au mfanyakazi rasmi wa LBL unatakiwa kuwa na ADA wa kuanzia *50000/= kwa ngazi ya P1 , 150000/= kwa ngazi ya P2, na 540000/= kwa ngazi ya P3 Kumbuka hakuna biashara unayoweza ifanya kama hauna mtaji ni lazima uwe na mtaji. ukikamilisha account yako utaungwa kwa group la WhatsApp
UTAKUWA TAYARI UANZE KAZI[emoji746][emoji746]

[emoji617]MWISHO
.
[emoji3585] LBL MAFANIKIO ni hakika
[emoji3585]LBL sio matapeli. Tuwe makini na matapeli watakao jitokeza na kuharibu sifa ya kampuni.

[emoji3585]Hii ni kazi sio kamali au bahati nasibu .
[emoji3585]Usipoview huwezi pata pesa Kwa sababu nao hawajapata pesa kupitia wewe. imezaa 6,030,000 /

[emoji3585]Kujiunga na LBL * ni bure kabisaa ila ili uwe mwajiriwa au mfanyakazi rasmi wa LBL unatakiwa kuwa na ADA wa kuanzia *50000/= kwa ngazi ya P1 , 150000/= kwa ngazi ya P2, na 540000/= kwa ngazi ya P3 Kumbuka hakuna biashara unayoweza ifanya kama hauna mtaji ni lazima uwe na mtaji. ukikamilisha account yako utaungwa kwa group la WhatsApp
UTAKUWA TAYARI UANZE KAZI[emoji746][emoji746]

[emoji617]MWISHO
.
[emoji3585] LBL MAFANIKIO ni hakika
[emoji3585]LBL sio matapeli. Tuwe makini na matapeli watakao jitokeza na kuharibu sifa ya kampuni.

[emoji3585]Hii ni kazi sio kamali au bahati nasibu .
[emoji3585]Usipoview huwezi pata pesa Kwa sababu nao hawajapata pesa kupitia wewe.
Keusi kekundu..!!
 
Naijua Leo Burnett tu na hiyo London sio jina kamili ya hii kampuni kwa hiyo ni scam
Kama ni wewe unaeitangaza nakushauri uache kabisa
Kwa jinsi ulivyoweka sifa zote hizo inaonekana ni wewe kabisa unai promote
Kama sio kweli nisamehe
Kama mtu unauliza kitu unashusha sifa zote hizo za nini?
Kwanini usiulize tu je ni Legit au la?
Hawa leo ni scammers wakubwa na wengi wametumbukia humo
Jamani kwa ushauri tu ukiona kampuni au jina la biashara kwanza kabisa ingia google hakikisha Kama ni matapeli au ni kampuni iliyosajili kisheria na iko wapi na pia angalia simu je zinauioano?

Tahadhari kabla ya kupigwa, ni ushauri tu
 
Jana kuna mtu kaniambia hii habari kwa maelezo yake anasema hela anapata kweli ila sikumzingatia sana mana najua wengi wa hivi ni matapeli.
 
Ngoja nikuelezee hii kampuni ya LBL siwezi sema moja kwa moja kua mi matapeli lakini kumesha wahi tokea kampuni nyingi za namna hii kama kalybder, sme na zingine nyingi. Kampuni hizi hua zina dumu kwa miezi fulani 3 mpaka 6 baada ya hapo hutoweka na fedha za watu wengi so cha msingi ukisikia we jiunge mapemaaaaa ili upige zako pesa alafu ukishatoa faida yako kaa pembeni maana hua zinakuja kutoweka baadae, mfano mimi nimeanza hii lbl toka mwezi wa 10 na ninafaida nyingi t lakini najua muda si mrefu watu wanaenda kulia , kwahyo ndugu yangu akili ku m kichwa
 
Safiii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom