Vice J
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 530
- 766
Nimejiajiri mwenyewe sitegemei hela za kudownload kijanaWewe uliiingiza bei gan au shobo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejiajiri mwenyewe sitegemei hela za kudownload kijanaWewe uliiingiza bei gan au shobo tu
Mi nina rafiki alini convince kujiunga LBL, nikataka kumzungusha akasema ataweka hela yake yeye ili niweze kuamini. Nimemkubalia kwa kuwa hela 'ikienda' ni yake sio yangu, anasema mwezi wa kwanza nimrudishie hela yake miezi inayofuata hela itakua yangu. Sasa nipo wiki ya pili naendelea na haka kamchezo. Nitawapa ripoti 😉Habari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada.
Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu
Leo burnett London (LBL) wanakupa task mbalimbali ikiwemo hii ambayo unatakiwa kutazama movie na kuzitolea review ambapo utalipwa kutokana na movie ulizoangalia.
Kabla hujaanza kazi unatakiwa kuweka kiasi cha pesa ambacho kinaanzia Tsh. 50,000 kwa level ya chini mpaka mpaka Tsh. 540,000 kwa level ya juu, na mapato yako yataenda kutokana na kiwango ulichoweka pesa.
Kiongozi wewe umeongea point sana watu wanasema ni matapeli lakini wote ambao wamedumu kwenye mfumo kwa mwezi mmoja wamesharudisha pesa yao ya kiingilio na wanaendelea kupata faida. Na mpaka sasa hakuna ambaye ametapeliwa. Mimi ni mwezi wa pili huu nimerudisha ela yangu na naendelea kupata faida. SO NI KUWEKEZA AT YOUR OWN RISKNgoja nikuelezee hii kampuni ya LBL siwezi sema moja kwa moja kua mi matapeli lakini kumesha wahi tokea kampuni nyingi za namna hii kama kalybder, sme na zingine nyingi. Kampuni hizi hua zina dumu kwa miezi fulani 3 mpaka 6 baada ya hapo hutoweka na fedha za watu wengi so cha msingi ukisikia we jiunge mapemaaaaa ili upige zako pesa alafu ukishatoa faida yako kaa pembeni maana hua zinakuja kutoweka baadae, mfano mimi nimeanza hii lbl toka mwezi wa 10 na ninafaida nyingi t lakini najua muda si mrefu watu wanaenda kulia , kwahyo ndugu yangu akili ku m kichwa
YES ni kweli me nina watu wawili nimewatafat mwwmyewe wamenionesha account zao na withdrawal zao zaid ya mara moja na ndo nilipo amini na mimi na nina ushahidi wa kutoa pesa pia hv vitu huwa wanaoanzaga mapema wanafaidiHabari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada.
Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu
Leo burnett London (LBL) wanakupa task mbalimbali ikiwemo hii ambayo unatakiwa kutazama movie na kuzitolea review ambapo utalipwa kutokana na movie ulizoangalia.
Kabla hujaanza kazi unatakiwa kuweka kiasi cha pesa ambacho kinaanzia Tsh. 50,000 kwa level ya chini mpaka mpaka Tsh. 540,000 kwa level ya juu, na mapato yako yataenda kutokana na kiwango ulichoweka pesa.
Chunguza zaidi usiingie haraka-haraka tu. Sio wa kuawamini hao jamaa wanakuja na mbinu mbalimbali ili wapate mitaji kwetu tu.Habari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada.
Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu
Leo burnett London (LBL) wanakupa task mbalimbali ikiwemo hii ambayo unatakiwa kutazama movie na kuzitolea review ambapo utalipwa kutokana na movie ulizoangalia.
Kabla hujaanza kazi unatakiwa kuweka kiasi cha pesa ambacho kinaanzia Tsh. 50,000 kwa level ya chini mpaka mpaka Tsh. 540,000 kwa level ya juu, na mapato yako yataenda kutokana na kiwango ulichoweka pesa.
Kwa ufupi hapa unashauri kushirikiana nao kutapeli haraka haraka.Ngoja nikuelezee hii kampuni ya LBL siwezi sema moja kwa moja kua mi matapeli lakini kumesha wahi tokea kampuni nyingi za namna hii kama kalybder, sme na zingine nyingi. Kampuni hizi hua zina dumu kwa miezi fulani 3 mpaka 6 baada ya hapo hutoweka na fedha za watu wengi so cha msingi ukisikia we jiunge mapemaaaaa ili upige zako pesa alafu ukishatoa faida yako kaa pembeni maana hua zinakuja kutoweka baadae, mfano mimi nimeanza hii lbl toka mwezi wa 10 na ninafaida nyingi t lakini najua muda si mrefu watu wanaenda kulia , kwahyo ndugu yangu akili ku m kichwa
Tushasema sana ukipata nafasi ya kutoa hela zako LBL zitoe mapemaHabari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada.
Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu
Leo burnett London (LBL) wanakupa task mbalimbali ikiwemo hii ambayo unatakiwa kutazama movie na kuzitolea review ambapo utalipwa kutokana na movie ulizoangalia.
Kabla hujaanza kazi unatakiwa kuweka kiasi cha pesa ambacho kinaanzia Tsh. 50,000 kwa level ya chini mpaka mpaka Tsh. 540,000 kwa level ya juu, na mapato yako yataenda kutokana na kiwango ulichoweka pesa.
😂😂Hapo wewe ndio fursa.
Mwezi ushaisha, tuambianeMi nina rafiki alini convince kujiunga LBL, nikataka kumzungusha akasema ataweka hela yake yeye ili niweze kuamini. Nimemkubalia kwa kuwa hela 'ikienda' ni yake sio yangu, anasema mwezi wa kwanza nimrudishie hela yake miezi inayofuata hela itakua yangu. Sasa nipo wiki ya pili naendelea na haka kamchezo. Nitawapa ripoti 😉
Ina miezi sasa bongo waliojiunga Toka mwanzo walishavuna faida ya zaidi ya million tatu.Mwezi ushaisha, tuambiane