Kampuni ya Mtandaoni ya LBL inayojihusisha na matangazo ya biashara siyo Utapeli?

Status
Not open for further replies.
Mi nina rafiki alini convince kujiunga LBL, nikataka kumzungusha akasema ataweka hela yake yeye ili niweze kuamini. Nimemkubalia kwa kuwa hela 'ikienda' ni yake sio yangu, anasema mwezi wa kwanza nimrudishie hela yake miezi inayofuata hela itakua yangu. Sasa nipo wiki ya pili naendelea na haka kamchezo. Nitawapa ripoti πŸ˜‰
 
Kiongozi wewe umeongea point sana watu wanasema ni matapeli lakini wote ambao wamedumu kwenye mfumo kwa mwezi mmoja wamesharudisha pesa yao ya kiingilio na wanaendelea kupata faida. Na mpaka sasa hakuna ambaye ametapeliwa. Mimi ni mwezi wa pili huu nimerudisha ela yangu na naendelea kupata faida. SO NI KUWEKEZA AT YOUR OWN RISK
 
Iyo ipo hivii itanenda vizuri tu itakuja changanya watu watapiga pesa then wataongeza plan amabyo utaweza si chin ya ml na watu watavuna sana pesa ziatonekana ktk dashbord ila hutotoa kwanza mpka ualike watu then pesa zikiwa nyingi wanasepa na kijiji
 
YES ni kweli me nina watu wawili nimewatafat mwwmyewe wamenionesha account zao na withdrawal zao zaid ya mara moja na ndo nilipo amini na mimi na nina ushahidi wa kutoa pesa pia hv vitu huwa wanaoanzaga mapema wanafaidi
 
Chunguza zaidi usiingie haraka-haraka tu. Sio wa kuawamini hao jamaa wanakuja na mbinu mbalimbali ili wapate mitaji kwetu tu.
 
Kwa ufupi hapa unashauri kushirikiana nao kutapeli haraka haraka.
 
Tushasema sana ukipata nafasi ya kutoa hela zako LBL zitoe mapema
 
Mwezi ushaisha, tuambiane
 
Zamani walikuwa wanakupa hela siku tano kwa wiki sasa unapewa mara moja kwa wiki
 
Je kuna kampuni za filamu kubwa zinawalipa watu kuview movie zao au hizo pesa wakishakusanya wanazitrade vipi wapate faida kubwa wakugawie na wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…