Kampuni ya Mzinga ondoeni walanguzi

Kampuni ya Mzinga ondoeni walanguzi

sisya

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
263
Reaction score
96
Sisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga.

Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna.

Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa pale kwenye ukuta Mirerani ni mgumu inabidi ununue kwa walanguzi wanaopewa hapo Arusha.

Bora jeshi wauze wenyewe wasiweke raia.
 
Wacha wapige dili na wao watakula wapi?Mradi wamalize kwa muda waliopangiwa kuuza ila kama wanakunyima na vigezo unavyo ndio mbaya.
 
umbea! kwani una uhakika gan hao ni raia!
Sehemu zote Mzinga wanaouza milipuko ni raia.Kama wanafanya hivyo na niya taasisi ya umma sio poa kwanza wanachelewasha mapato kutokana na milipuko kuchelewa kwisha ili waagize mingine huo ni uhujumu uchumi.Jamaa namshauri aende Nitro au kwa Yese.
 
Demand and Supply. Walanguzi wanaenda kununua milipuko yote kisha wanaanza kuuza mdogo mdogo kwa bei ya juu.
Bongo tumia ubongo.
 
Kwani Tonte, Kifua, Chuma, mwanunua bei gani huko?
 
kwanini wasiwape makampuni binafsi kazi wao waregulate tu? haya mambo ya taasisi kufanya biashara yanatuchelewesha sana.
 
Sisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga.

Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna.

Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa pale kwenye ukuta Mirerani ni mgumu inabidi ununue kwa walanguzi wanaopewa hapo Arusha.

Bora jeshi wauze wenyewe wasiweke raia.
na ukinunua kiholela ukishikwa nazo jela miaka mitano, au faini mamilioni!
 
Demand and Supply. Walanguzi wanaenda kununua milipuko yote kisha wanaanza kuuza mdogo mdogo kwa bei ya juu.
Bongo tumia ubongo.
Ni Kama meli za bakhressa za kwenda Zenji,Kanjanjaz wananua ticket zote we ukienda ofisini kununua ticket wanakwambia zimeisha na wanakwambia muone Kanjanjaz flani hapo atakuuzia.
 
Sisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga.

Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna.

Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa pale kwenye ukuta Mirerani ni mgumu inabidi ununue kwa walanguzi wanaopewa hapo Arusha.

Bora jeshi wauze wenyewe wasiweke raia.
Kuna mtu kanieleza zikibaki chache huwa wanaficha wanalangua mabosi wakiuliza wanaambiwa biashara mbaya kumbe wanaficha wauzi bei juu
 
Back
Top Bottom