Sehemu zote Mzinga wanaouza milipuko ni raia.Kama wanafanya hivyo na niya taasisi ya umma sio poa kwanza wanachelewasha mapato kutokana na milipuko kuchelewa kwisha ili waagize mingine huo ni uhujumu uchumi.Jamaa namshauri aende Nitro au kwa Yese.umbea! kwani una uhakika gan hao ni raia!
na ukinunua kiholela ukishikwa nazo jela miaka mitano, au faini mamilioni!Sisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga.
Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna.
Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa pale kwenye ukuta Mirerani ni mgumu inabidi ununue kwa walanguzi wanaopewa hapo Arusha.
Bora jeshi wauze wenyewe wasiweke raia.
Ni Kama meli za bakhressa za kwenda Zenji,Kanjanjaz wananua ticket zote we ukienda ofisini kununua ticket wanakwambia zimeisha na wanakwambia muone Kanjanjaz flani hapo atakuuzia.Demand and Supply. Walanguzi wanaenda kununua milipuko yote kisha wanaanza kuuza mdogo mdogo kwa bei ya juu.
Bongo tumia ubongo.
Utaambiwa hio NI MILIPUKO.kwanini wasiwape makampuni binafsi kazi wao waregulate tu? haya mambo ya taasisi kufanya biashara yanatuchelewesha sana.
Kuna mtu kanieleza zikibaki chache huwa wanaficha wanalangua mabosi wakiuliza wanaambiwa biashara mbaya kumbe wanaficha wauzi bei juuSisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga.
Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna.
Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa pale kwenye ukuta Mirerani ni mgumu inabidi ununue kwa walanguzi wanaopewa hapo Arusha.
Bora jeshi wauze wenyewe wasiweke raia.