Kampuni ya OYA 'yawakaanga' Wafanyakazi wake waliosababisha kifo cha mtu walipoenda kudai marejesho

Hawa vijana wasinge behave hivi Kama hakukua na backing ya kampuni.
Kila OYA walikoenda kudai walifanya ubabe na uhuni.
Kuna uzi humu kwamba walimteka mdaiwa toka Tegeta wakaenda kumbwaga Mbagala akiwa Hana hata Mia Wala simu.
I feel the management should be investigated.
 
TAMKO LA OYA KUHUSU TUKIO LA MLANDIZI

OYA Microfinance imehuzunishwa sana na ripoti za tukio la kusikitisha lililotokea Mlandizi, Kibaha, linalodaiwa kuhusisha wafanyakazi wanne wa kampuni yetu, ambalo limesababisha kupoteza maisha. Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia iliyoathirika na kwa jamii nzima katika kipindi hiki kigumu.

Tunataka kuweka wazi kabisa kuwa OYA haijawahi kuidhinisha, wala haitoi mafunzo kwa wafanyakazi wake kutumia aina yoyote ya nguvu katika urejeshaji wa madeni. Taratibu zetu ni za kisheria na zinazingatia maadili, na tukio hili halionyeshi maadili au taratibu zetu za kawaida za uendeshaji.

OYA inashirikiana kikamilifu na mamlaka katika uchunguzi wao. Tutaendelea kuheshimu sheria na kudumisha uwazi katika mchakato huu mzima.

Taratibu zetu za urejeshaji wa madeni zinalenga kuwa za heshima na kufuata sheria, na tunachukua hatua za haraka kupitia upya na kuimarisha michakato yetu ya ndani ili kuhakikisha kuwa tukio kama hili halitokei tena.

Tunaendelea kujitolea kwa dhamira yetu ya kusaidia na kuwawezesha watu wenye kipato cha chini, na tutaendelea kufanya kazi ili kudumisha imani ya wateja wetu na jamii tunazozihudumia.

OYA MICROCREDIT COMPANY LIMITED

Pia soma
~
Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA
~ Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa
~ Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji
OYA! Mbona mmechelewa kuamka, mbona malalamiko ya mitandaoni mlikuwa hamyatolei ufafanuzi!
 
Hapo ndio zile sifa za kijinga zinapoponzaga. Unahangaika na raia kuwataabisha kama una share kwenye kampuni kumbe ni fala tu.
Jamaaa wanatukana tu sa ivi.... As long as kampuni ni ya mbongo na mkataba wako unamashaka hasa katika usalama wa kazi yako Fanya yanayokuhusu kwa utaratibu sahihi
 
Watz wengi ni wazuri kwenye kukopa ila kwenye kulipa ni kisanga, usipokuwa serious na hela yako wanaweza kukufirisi, all in all wadaiwa wawe waungwana kwenye kulipa ili kupunguza mivutano isiyo ya msingi
 
Wamewanawa washikaji daaaahhhhh
Kwa hiyo ulitaka wafanye nini?ndio waliwatuma kufanya hivyo?mwanajeshi mwenyewe huwa akifanya upuuzi vitani anawajibishwa sembuse huyu mkusanya mikopo?
 
Hawa Vijana wakiwa kwele vile vi IST na jezi zao kama wahudumu wana jiona wame yapata maisha
 
TAMKO LA OYA KUHUSU TUKIO LA MLANDIZI

OYA Microfinance imehuzunishwa sana na ripoti za tukio la kusikitisha lililotokea Mlandizi, Kibaha, linalodaiwa kuhusisha wafanyakazi wanne wa kampuni yetu, ambalo limesababisha kupoteza maisha. Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia iliyoathirika na kwa jamii nzima katika kipindi hiki kigumu.

Tunataka kuweka wazi kabisa kuwa OYA haijawahi kuidhinisha, wala haitoi mafunzo kwa wafanyakazi wake kutumia aina yoyote ya nguvu katika urejeshaji wa madeni. Taratibu zetu ni za kisheria na zinazingatia maadili, na tukio hili halionyeshi maadili au taratibu zetu za kawaida za uendeshaji.

OYA inashirikiana kikamilifu na mamlaka katika uchunguzi wao. Tutaendelea kuheshimu sheria na kudumisha uwazi katika mchakato huu mzima.

Taratibu zetu za urejeshaji wa madeni zinalenga kuwa za heshima na kufuata sheria, na tunachukua hatua za haraka kupitia upya na kuimarisha michakato yetu ya ndani ili kuhakikisha kuwa tukio kama hili halitokei tena.

Tunaendelea kujitolea kwa dhamira yetu ya kusaidia na kuwawezesha watu wenye kipato cha chini, na tutaendelea kufanya kazi ili kudumisha imani ya wateja wetu na jamii tunazozihudumia.

OYA MICROCREDIT COMPANY LIMITED

Pia soma
~
Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA
~ Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa
~ Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji
Barua hii inawatia hatiani.

Wadeni wanalalamika sana kupigwa na kudhalilishwa na wafanyakazi wa kampuni hii ya kigaidi.

Kama kampuni hii siyo tanzu ya serikali na jeshi la Potato Tanzania, basi mmiliki wake ni mtu mzito sana serikalini.

Kampuni inapaswa kusitishwa leseni yake na washtakiwe kwa makosa ya udhalilishaji na jinai dhidi ya utu.

Lakini najua hawatoguswa kwa sababu serikali ni mfaidika namba moja wa hili likampuni la kigaidi
 
TAMKO LA OYA KUHUSU TUKIO LA MLANDIZI

OYA Microfinance imehuzunishwa sana na ripoti za tukio la kusikitisha lililotokea Mlandizi, Kibaha, linalodaiwa kuhusisha wafanyakazi wanne wa kampuni yetu, ambalo limesababisha kupoteza maisha. Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia iliyoathirika na kwa jamii nzima katika kipindi hiki kigumu.

Tunataka kuweka wazi kabisa kuwa OYA haijawahi kuidhinisha, wala haitoi mafunzo kwa wafanyakazi wake kutumia aina yoyote ya nguvu katika urejeshaji wa madeni. Taratibu zetu ni za kisheria na zinazingatia maadili, na tukio hili halionyeshi maadili au taratibu zetu za kawaida za uendeshaji.

OYA inashirikiana kikamilifu na mamlaka katika uchunguzi wao. Tutaendelea kuheshimu sheria na kudumisha uwazi katika mchakato huu mzima.

Taratibu zetu za urejeshaji wa madeni zinalenga kuwa za heshima na kufuata sheria, na tunachukua hatua za haraka kupitia upya na kuimarisha michakato yetu ya ndani ili kuhakikisha kuwa tukio kama hili halitokei tena.

Tunaendelea kujitolea kwa dhamira yetu ya kusaidia na kuwawezesha watu wenye kipato cha chini, na tutaendelea kufanya kazi ili kudumisha imani ya wateja wetu na jamii tunazozihudumia.

OYA MICROCREDIT COMPANY LIMITED

Pia soma
~
Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA
~ Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa
~ Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji
Hivi hawa Oya wanaweza kudhibitisha kwamba walishawahi kuwakataza wafanyakazi wake wasifanye hizi tabia ? Hii kesi inamhitaji Kibatala awafilisi maana wanataka kujisafisha kwenye kitu ambacho kinajulikana ndio sifa yao.
 
Kwa hiyo ulitaka wafanye nini?ndio waliwatuma kufanya hivyo?mwanajeshi mwenyewe huwa akifanya upuuzi vitani anawajibishwa sembuse huyu mkusanya mikopo?
Unazijua hizi kampuni lakini mkuuu
 
Kwa hiyo ulitaka wafanye nini?ndio waliwatuma kufanya hivyo?mwanajeshi mwenyewe huwa akifanya upuuzi vitani anawajibishwa sembuse huyu mkusanya mikopo?

Pita na hapa MKUU Ili ujue kwamba jamaa walikua wanatekeleza majukumu Kwa baraka zote za uongozi wa OYA
 
Back
Top Bottom