Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Tunasema aliye uwawa ni sisimizi au sihafu tu siyo binadamu muarabuCCM TAIFA wanasemaje?
Ile video walijorekodi ili wakamwonyeshe afande jinsi walivyofanya kazi nzuri..Yale yale kina nyundo na genge lake.,, mnamfurahisha afande kwa kumdhalilisha mtoto wa watu kisha nyie mnaishia jela afande anakula kuku nje, ufala pro max
OYA! Mbona mmechelewa kuamka, mbona malalamiko ya mitandaoni mlikuwa hamyatolei ufafanuzi!TAMKO LA OYA KUHUSU TUKIO LA MLANDIZI
OYA Microfinance imehuzunishwa sana na ripoti za tukio la kusikitisha lililotokea Mlandizi, Kibaha, linalodaiwa kuhusisha wafanyakazi wanne wa kampuni yetu, ambalo limesababisha kupoteza maisha. Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia iliyoathirika na kwa jamii nzima katika kipindi hiki kigumu.
Tunataka kuweka wazi kabisa kuwa OYA haijawahi kuidhinisha, wala haitoi mafunzo kwa wafanyakazi wake kutumia aina yoyote ya nguvu katika urejeshaji wa madeni. Taratibu zetu ni za kisheria na zinazingatia maadili, na tukio hili halionyeshi maadili au taratibu zetu za kawaida za uendeshaji.
OYA inashirikiana kikamilifu na mamlaka katika uchunguzi wao. Tutaendelea kuheshimu sheria na kudumisha uwazi katika mchakato huu mzima.
Taratibu zetu za urejeshaji wa madeni zinalenga kuwa za heshima na kufuata sheria, na tunachukua hatua za haraka kupitia upya na kuimarisha michakato yetu ya ndani ili kuhakikisha kuwa tukio kama hili halitokei tena.
Tunaendelea kujitolea kwa dhamira yetu ya kusaidia na kuwawezesha watu wenye kipato cha chini, na tutaendelea kufanya kazi ili kudumisha imani ya wateja wetu na jamii tunazozihudumia.
OYA MICROCREDIT COMPANY LIMITED
Pia soma
~ Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA
~ Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa
~ Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji
Jamaaa wanatukana tu sa ivi.... As long as kampuni ni ya mbongo na mkataba wako unamashaka hasa katika usalama wa kazi yako Fanya yanayokuhusu kwa utaratibu sahihiHapo ndio zile sifa za kijinga zinapoponzaga. Unahangaika na raia kuwataabisha kama una share kwenye kampuni kumbe ni fala tu.
Mtaje sasaHilo Tamko linabadilisha nini?
Tunajua hiyo ni kampuni ya hovyo sana hasa katika kunyanyasa wakopaji ila inalindwa na Kigogo mkubwa serikalini ambaye ndiye mmiliki
Kwa hiyo ulitaka wafanye nini?ndio waliwatuma kufanya hivyo?mwanajeshi mwenyewe huwa akifanya upuuzi vitani anawajibishwa sembuse huyu mkusanya mikopo?Wamewanawa washikaji daaaahhhhh
Barua hii inawatia hatiani.TAMKO LA OYA KUHUSU TUKIO LA MLANDIZI
OYA Microfinance imehuzunishwa sana na ripoti za tukio la kusikitisha lililotokea Mlandizi, Kibaha, linalodaiwa kuhusisha wafanyakazi wanne wa kampuni yetu, ambalo limesababisha kupoteza maisha. Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia iliyoathirika na kwa jamii nzima katika kipindi hiki kigumu.
Tunataka kuweka wazi kabisa kuwa OYA haijawahi kuidhinisha, wala haitoi mafunzo kwa wafanyakazi wake kutumia aina yoyote ya nguvu katika urejeshaji wa madeni. Taratibu zetu ni za kisheria na zinazingatia maadili, na tukio hili halionyeshi maadili au taratibu zetu za kawaida za uendeshaji.
OYA inashirikiana kikamilifu na mamlaka katika uchunguzi wao. Tutaendelea kuheshimu sheria na kudumisha uwazi katika mchakato huu mzima.
Taratibu zetu za urejeshaji wa madeni zinalenga kuwa za heshima na kufuata sheria, na tunachukua hatua za haraka kupitia upya na kuimarisha michakato yetu ya ndani ili kuhakikisha kuwa tukio kama hili halitokei tena.
Tunaendelea kujitolea kwa dhamira yetu ya kusaidia na kuwawezesha watu wenye kipato cha chini, na tutaendelea kufanya kazi ili kudumisha imani ya wateja wetu na jamii tunazozihudumia.
OYA MICROCREDIT COMPANY LIMITED
Pia soma
~ Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA
~ Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa
~ Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji
Hivi hawa Oya wanaweza kudhibitisha kwamba walishawahi kuwakataza wafanyakazi wake wasifanye hizi tabia ? Hii kesi inamhitaji Kibatala awafilisi maana wanataka kujisafisha kwenye kitu ambacho kinajulikana ndio sifa yao.TAMKO LA OYA KUHUSU TUKIO LA MLANDIZI
OYA Microfinance imehuzunishwa sana na ripoti za tukio la kusikitisha lililotokea Mlandizi, Kibaha, linalodaiwa kuhusisha wafanyakazi wanne wa kampuni yetu, ambalo limesababisha kupoteza maisha. Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia iliyoathirika na kwa jamii nzima katika kipindi hiki kigumu.
Tunataka kuweka wazi kabisa kuwa OYA haijawahi kuidhinisha, wala haitoi mafunzo kwa wafanyakazi wake kutumia aina yoyote ya nguvu katika urejeshaji wa madeni. Taratibu zetu ni za kisheria na zinazingatia maadili, na tukio hili halionyeshi maadili au taratibu zetu za kawaida za uendeshaji.
OYA inashirikiana kikamilifu na mamlaka katika uchunguzi wao. Tutaendelea kuheshimu sheria na kudumisha uwazi katika mchakato huu mzima.
Taratibu zetu za urejeshaji wa madeni zinalenga kuwa za heshima na kufuata sheria, na tunachukua hatua za haraka kupitia upya na kuimarisha michakato yetu ya ndani ili kuhakikisha kuwa tukio kama hili halitokei tena.
Tunaendelea kujitolea kwa dhamira yetu ya kusaidia na kuwawezesha watu wenye kipato cha chini, na tutaendelea kufanya kazi ili kudumisha imani ya wateja wetu na jamii tunazozihudumia.
OYA MICROCREDIT COMPANY LIMITED
Pia soma
~ Mfahamu Juma Jangalu anayedaiwa kuuawa na wafanyakazi wa OYA
~ Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa
~ Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji
Wanahuzunika assets wao wananyea debe sasaCCM TAIFA wanasemaje?
Unazijua hizi kampuni lakini mkuuuKwa hiyo ulitaka wafanye nini?ndio waliwatuma kufanya hivyo?mwanajeshi mwenyewe huwa akifanya upuuzi vitani anawajibishwa sembuse huyu mkusanya mikopo?
Kwa hiyo ulitaka wafanye nini?ndio waliwatuma kufanya hivyo?mwanajeshi mwenyewe huwa akifanya upuuzi vitani anawajibishwa sembuse huyu mkusanya mikopo?