Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Inadaiwa Kampuni ya Pepsi imeamua kujitenga na Diamond Platnumz ili kujiweka salama baada ya kadhia iliyozikumba baadhi ya kampuni Oktoba 29, 2025.
Hii imetokana pia na presha ya watu mtandaoni waliodai uwajibikaji, na kuitaka kampuni ya Pepsi kujitenga naye.
Kwa sasa, kampuni hiyo imefuta machapisho yote ya diamond kwenye mtandao wa instagram, diamond mwenyewe kaondoa tag yao kwenye bio yake na inadaiwa mabango yenye picha zake yameshaanza kushushwa.