Kampuni ya PepsiCo

Kampuni ya PepsiCo

sir Clinton

Member
Joined
Jun 18, 2023
Posts
5
Reaction score
4
Iv brela inaitambua kampuni ya PepsiCo ambayo wananchi wengi wanaweka fedha zao Kama hisa kwa lengo la kufanya investment?
Screenshot_20240409-195341.png
 
Hio imeshafungwa tayari, imetembea na hela za watu wengi sana, kipindi hiki cha bumu , wanavyuo wengi walikuwa wamewekeza hadi pesa yote ya bumu saizi ni vilio tu.
 
Kwanza; kama wanaihusisha na kampuni inayozalisha soda, basi siyo yenyewe. Hakuna kampuni ya PepsiCo, kuna Seven-up Bottling Company (SBC).

Pili; hakuna mtu unaweza kumpa hela halafu yeye akuzalishie. Huo ni utapeli. DECI, Vanilla, Mr. Kuku, n.k. wametapeli wengi sana kwa mtindo huu. Shituka.

Mwisho; usimpe au kuwekeza hela yako kwa yeyote usiyemfahamu. Otherwise, wekeza kiasi unachoweza kukipoteza (you can afford to lose).
 
Back
Top Bottom