Kampuni ya PepsiCo

Hio imeshafungwa tayari, imetembea na hela za watu wengi sana, kipindi hiki cha bumu , wanavyuo wengi walikuwa wamewekeza hadi pesa yote ya bumu saizi ni vilio tu.
 
Kwanza; kama wanaihusisha na kampuni inayozalisha soda, basi siyo yenyewe. Hakuna kampuni ya PepsiCo, kuna Seven-up Bottling Company (SBC).

Pili; hakuna mtu unaweza kumpa hela halafu yeye akuzalishie. Huo ni utapeli. DECI, Vanilla, Mr. Kuku, n.k. wametapeli wengi sana kwa mtindo huu. Shituka.

Mwisho; usimpe au kuwekeza hela yako kwa yeyote usiyemfahamu. Otherwise, wekeza kiasi unachoweza kukipoteza (you can afford to lose).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…