Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Mimi ni mtumiaji wa Oil za Castrol kwenye magari ya Ulaya na Japan.
Juzi nilikuwa natafuta oil ya Castrol 5W30 Edge Full Synthetic kwenye filling stations za PUMA sikuweza kupata, sana sana walikuwa na oil za Castrol chache ikiwemo 5W40 Edge, nilizozikuta ni PUMA Oil ndizo wamezijaza nadhani ni matoleo mapya, kuuliza wakasema sasa hivi wanauza za PUMA, hizo za Castrol hawaagizi.
Kwa hali hii inabidi niachane na Oil za Castrol nianze kutumia oil za kampuni nyingine ila sijajua ni za kampuni gani ambazo zitakuwa ni bora na kama ilivyo kwa Castrol. Hizo za PUMA ukiangalia Parking zake hazina mvuto.
Nafikiria kuhamia kwenye Oil za Total.
Watahalam wa JF naombeni ushauri wa Kampuni gani yenye Oil nzuri tofauti na Castrol.