Kampuni ya PUMA imehamua kuachana na kusambaza na kuuza oil za Castrol?

Huyu kakupiga fix kwa sababu yeye anauza oil zake lakini mzigo wa Castrol umejaa madukani likiwemo la kwangu +255719263074
Kivipi?

Naamini bidhaa inakuwa haijachakachukiwa nikiinunua kwa dealer ama keenye vituo vyenyewe vya PUMA ndio maana ninaogopa kununua Oil kwenye maduka ya kawaida.
 
Hujatoa sababu technical zaidi ya 'mvuto'.

Inaonesha umekaririshwa ndo maana mpaka sasa hujui alternative.

Inabidi ujue gari lako ni aina gani na oil yenye ingredients gani ni recommended.

Utaishia kudanganywa hapa.
Aisee, akili ndogo ........
 
Tumia liqui moly hii imechangamka bei pia
Kwa Castrol Oil nilikuwa nakwenda km 8 000. Nadhani hizo zenyewe za Germany ni zaidiz nadhani kaama km 15,000. Kama ni hivyo tofauti ya bei inawezekana ya Germany ikawa nafuu sababu hiyo Castroil, oil filter ninabadilisha kabla ya km 8,000.

Uwa baada ya kufanya service ya gari, ypande wa Oil nikiriseti inanionyesha servise inayofuata ni km 15 000 ila sababu natumia castrol nafanya kabla ya km 8,000.
 
Hamua" ndio nini?
 
Sawa mkuu, bei yake ni shilingi ngapi na inakuwa na lita ngapi?

Hii nitatumia kwa magari ya Ulaya.
Ngoja nikutumie namba za muuzaji maana bei zipo tofauti kulingana na unahitaji ya km ngapi.

0759883334
 
Nafikiria kuhamia kwenye Oil za Total.

Watahalam wa JF naombeni ushauri wa Kampuni gani yenye Oil nzuri tofauti na Castrol.
Upo sahihi, nilipoanza kusoma uzi nilitaka nikushauri uhamie Total kumbe umetangulia kufika
 
Wacheki hawa jamaa, ndiyo distributor wa hizo CASTOL wako Vingunguti ila hawauzi rejareja , Wanaweza kukuunganisha na wauzaji wanaowapelekea mizigo. Na mimi nilihangaika miezi michache ya nyuma ila nikawatumia hawa kawaniunganisha na duka kkoo.
 
Yani Total copy no nyingi mno na hata Castro nyingi zinatokea Nairobi,mie naona oil Bora ni Atlantic au Lique moly

Ukitak castrol OG nunua kwa wakala wao mfano wakala wa castrol yuko pale nyamwezi, total mimi huwa nachukulia mzigo kwa wakala pale mtaa wa kiungani/livingstone karibu na uwanja wa JK pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…