Wajinga ndo waliwao... Na hii NAMAINGO cjajua mwisho wake mana nikipita pale makao makuu yao Ukonga nakutaga bonge la shazi alaf Bi Mkubwa mwenye hyo mishe lyf lake dizain limechange ghafla hv!
Mkuu huyu mama naye ni mpiga dili tu hana lolote..! Ni kama wezi wengine tumimi naisubiria namaingo 😀😀😀😀
Huyu Bi Mkubwa alitaka kunipiga kama mil. 1, nikashituka nikatimua mbio...! Wananitafuta kwa simu mpaka leomuda utasema maana ukiwasikiliza hawa jamaa ni mwendo wa kukaa home unasubiria kuvuna mahela.....
hawa jamaa kuna siku kwenye group la whatsup walikuwa wanajieleza nikawaambia mnasaidiaje mtu akaanza kujikanyaga then akakimbilia kusema njoo ofisini kwa maelezo zaidi nikamwambia kama hapa umeshindwa kujieleza ofisini utaweza akaniona mnokomimi naisubiria namaingo 😀😀😀😀
hao nao wengi wanongea wenyewe ukidhubutu kuwapa namba ya simu utajuta kuzaliwa oriflame nao wanafujoForever living bado iko?
Hahhahahahahahaha...... Ile dawa ya Meno huwa nainunua mara 2 kwa mwaka....!!!!watu wameacha bidhaa nyumbni ni kichaa tu anafikiria kuuza. dawa ya meno ya elfu 30 eneo kama mbagala
Ivi kuna watu bado wanapigwa, kuna mama mmoja nilikuwa namheshimu sana alinilazimisha sana tena sana kujiunga na hawa vibaka wa haya makampuni ilibaki kidogo nipigwe kiingilio kilikuwa Laki saba, mpaka tukakosana na huyo mama maana ananipigia simu kila baada ya saa moja kama ananidai vile aisee ule usumbufu ilibidi nimtukane ili asinipigie tena.
yaani sijui uingize wenzio sijui nini kha bora uuze maandazi mtaani ujuwe mojaMimi kuna huyo jamaa yangu naheshimiana nae sana na yupo humu alikuwa ananishawishi sana nijiunge huko Rifaro.
Akawa anadai kuna rafiki yake kazini kwao anapiga pesa hatariiii,naye ikabidi ajiunge na anishtue na mimi pia.
Kila siku mara anitumie video mara mapichapicha...daaah nikapotezea.
Niliwahi kushawishiwa hapo kabla kujiunga na Forever Living nikachomoa vilevile na ndugu wa karibu tu.
Sasa kama miezi mitatu iliyopita cousin wangu alinialika dinner akidai ana mchongo kausikia akaona anishirikishe...kizuri kula na nduguyo eti?
Looooh nafika tumepiga story za hapa na pale kanitolea vitabu!Tobaaaa
Kumbe ni mambo ya OriFlame sijui.
Nilimmind kinomanoma (kimoyomoyo sikutaka kumuonesha)
Nikamuambia "Interesting... Nitafikiria nitakupa jibu"
Hadi leo sitaki hata kufikiria kujiunga na huo upuuzi.
Mimi huwa siamini ktk hii michezo/biashara kabisa.Haina tofauti na yale mambo ya promotion kazi kichaa.
Kujitafutia lawama tu.
Hizo kazi za chain marketing ni hatari sana. kwa kweli. usije ukajaribu utaumia.Mimi kuna huyo jamaa yangu naheshimiana nae sana na yupo humu alikuwa ananishawishi sana nijiunge huko Rifaro.
Akawa anadai kuna rafiki yake kazini kwao anapiga pesa hatariiii,naye ikabidi ajiunge na anishtue na mimi pia.
Kila siku mara anitumie video mara mapichapicha...daaah nikapotezea.
Niliwahi kushawishiwa hapo kabla kujiunga na Forever Living nikachomoa vilevile na ndugu wa karibu tu.
Sasa kama miezi mitatu iliyopita cousin wangu alinialika dinner akidai ana mchongo kausikia akaona anishirikishe...kizuri kula na nduguyo eti?
Looooh nafika tumepiga story za hapa na pale kanitolea vitabu!Tobaaaa
Kumbe ni mambo ya OriFlame sijui.
Nilimmind kinomanoma (kimoyomoyo sikutaka kumuonesha)
Nikamuambia "Interesting... Nitafikiria nitakupa jibu"
Hadi leo sitaki hata kufikiria kujiunga na huo upuuzi.
Mimi huwa siamini ktk hii michezo/biashara kabisa.Haina tofauti na yale mambo ya promotion kazi kichaa.
Kujitafutia lawama tu.
Ilibaki kidogo sana nijiunge ila kuna thread hapa JF ilinisaidia sana nikashtuka aisee yaani yangeongezeka masaa 24 tuu ningekuwa nimeshalambwa.U heaaaaard!!!!!!!!! mkuu haukujiunga kweli???
Sasa jiulize NGO ni kwaajili ya kusaidia wahitaji..Je! Viingilio ni vya nini..?bado wanataka pesa za wadau za viingilio
Shukraan mkuu,nitazingatia.Hizo kazi za chain marketing ni hatari sana. kwa kweli. usije ukajaribu utaumia.
Nakutaia kila la heri.
Mwenzangu kujitafutia lawama tu.yaani sijui uingize wenzio sijui nini kha bora uuze maandazi mtaani ujuwe moja