Kampuni ya rifaro imekufa

Kampuni ya rifaro imekufa

Wajinga ndo waliwao... Na hii NAMAINGO cjajua mwisho wake mana nikipita pale makao makuu yao Ukonga nakutaga bonge la shazi alaf Bi Mkubwa mwenye hyo mishe lyf lake dizain limechange ghafla hv!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wajinga ndo waliwao... Na hii NAMAINGO cjajua mwisho wake mana nikipita pale makao makuu yao Ukonga nakutaga bonge la shazi alaf Bi Mkubwa mwenye hyo mishe lyf lake dizain limechange ghafla hv!

muda utasema maana ukiwasikiliza hawa jamaa ni mwendo wa kukaa home unasubiria kuvuna mahela.....
 
Waibiwee tuuu hakuna namna Nina Kuna mijitu mibish kaa nyama ya kwapa tuliwaambia huu wizi Ni deci za mitandaoni tuu wakakataa.eti umtumie pesa mtu humjui afu upate Faida kirahis rahis tuu

Nasema waibiwe tuu ikiwezekana kuje tena nyingine ha ha ha
 
mimi naisubiria namaingo 😀😀😀😀
hawa jamaa kuna siku kwenye group la whatsup walikuwa wanajieleza nikawaambia mnasaidiaje mtu akaanza kujikanyaga then akakimbilia kusema njoo ofisini kwa maelezo zaidi nikamwambia kama hapa umeshindwa kujieleza ofisini utaweza akaniona mnoko
 
U heaaaaard!!!!!!!!! mkuu haukujiunga kweli???
Ivi kuna watu bado wanapigwa, kuna mama mmoja nilikuwa namheshimu sana alinilazimisha sana tena sana kujiunga na hawa vibaka wa haya makampuni ilibaki kidogo nipigwe kiingilio kilikuwa Laki saba, mpaka tukakosana na huyo mama maana ananipigia simu kila baada ya saa moja kama ananidai vile aisee ule usumbufu ilibidi nimtukane ili asinipigie tena.
 
Mimi kuna huyo jamaa yangu naheshimiana nae sana na yupo humu alikuwa ananishawishi sana nijiunge huko Rifaro.
Akawa anadai kuna rafiki yake kazini kwao anapiga pesa hatariiii,naye ikabidi ajiunge na anishtue na mimi pia.
Kila siku mara anitumie video mara mapichapicha...daaah nikapotezea.

Niliwahi kushawishiwa hapo kabla kujiunga na Forever Living nikachomoa vilevile na ndugu wa karibu tu.

Sasa kama miezi mitatu iliyopita cousin wangu alinialika dinner akidai ana mchongo kausikia akaona anishirikishe...kizuri kula na nduguyo eti?
Looooh nafika tumepiga story za hapa na pale kanitolea vitabu!Tobaaaa
Kumbe ni mambo ya OriFlame sijui.
Nilimmind kinomanoma (kimoyomoyo sikutaka kumuonesha)
Nikamuambia "Interesting... Nitafikiria nitakupa jibu"
Hadi leo sitaki hata kufikiria kujiunga na huo upuuzi.
Mimi huwa siamini ktk hii michezo/biashara kabisa.Haina tofauti na yale mambo ya promotion kazi kichaa.
Kujitafutia lawama tu.
 
yaani sijui uingize wenzio sijui nini kha bora uuze maandazi mtaani ujuwe moja
 
Hizo kazi za chain marketing ni hatari sana. kwa kweli. usije ukajaribu utaumia.
Nakutaia kila la heri.
 
Duh hivi bado kuna watu wanaamini katika hizi taasisi za kitapeli.Nashangaa unamkuta mtu yuko busy kusifia jinsi anavyopiga fedha ikija round ya beer anakimbia toilet sasa najiuliza huyu hata kulipa 35,000/= shida bora ukauza mandazi kuliko hizi biashara kichaa.
 
yaani sijui uingize wenzio sijui nini kha bora uuze maandazi mtaani ujuwe moja
Mwenzangu kujitafutia lawama tu.
Maana unaambiwa ili ulipwe mshahara mkubwa unatakiwa ushawishi watu wengi wajiunge.
Ukimshawishi ndugu mwisho mambo yenyewe ya kitapeli si lawama hizo?
 
Back
Top Bottom