Kampuni ya sasatel yafilisika rasmi.


Na champion wa hili ni January Makamba. Mimi nadhani tukikomaa na wabunge wanaweza batilisha hili na hizi hela zikaenda TTcL. Ilakichwa uwa kinauma sana kila nikifikiria technologia yao ya CDMA. Na hii imechangia sana kutokuukua kwao. Sijihui nani aliwaingiza mkenge.
 

Sasa wenye simu za Sasatel tutapata wapi huduma zao? MIMI NINASHIDA NA BATTERY YA SIMU YANGU YA WIRELESS HANDSET YA MEZANI NITAPATA WAPI BATTERY?
NAOMBA MSAADA
 
Sasa wenye simu za Sasatel tutapata wapi huduma zao? MIMI NINASHIDA NA BATTERY YA SIMU YANGU YA WIRELESS HANDSET YA MEZANI NITAPATA WAPI BATTERY?
NAOMBA MSAADA
nenda ofisini kwao...Masaki karibu na Coco beach
 
Breaking News:Sasatel yafa Rasmi.
Noma sana kuna mshikaji flani namjua aliacha kazi kwa mbwembwe akaenda Sasatel nadhani na yeye atakuwa anapumulia mashine,vijana wengi wanapenda sana maendeleo ya harakaharaka yakija makampuni mapya anakimbilia tu bila kutafakari anaacha sehemu aliyekuwepo miaka miwili anaenda kwenye kampuni ambayo haijui ina background gani anatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa,Kuna kampuni ilikuja miaka ya 2008 inaitwa Hits Tanzania kampuni ya simu ilikuwa na prefix 0741xxxxxx ilinyang'anya wafanyakazi wengi kutoka kampuni za simu watu walikimbilia kisa walikuwa wanaenda kulipwa $3000 wakaacha kazi za huku walipokuwa wanalipwa 1.3m baada ya miezi mi3 wakakumbana na mtikisiko wa uchumi kampuni ikafa wakaanza kuemea mashine ahmad wengine wakapata zari wakaenda Equatorial Guine ndio ikawa manusura otherwise ilikuwa aibu maana walikuwa wamekaa miezi mi3 bila mshaara ikabidi wengine wakaanza kuuza magari yao haya makampuni mapya yanayokuja ni majanga sio mazuri kukimbilia...RIP sasatel
 

Dah huruma sana kwa mwekezaji. Yani katumia gharama nyingi kwenye kujenga infrastructure za mtandao then unakosa faida uliyoitaka. Pole yake aiseh. Soko limeshabana hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…