Kampuni ya Shell’s Global yenye vitalu vya gesi Mtwara inadaiwa kuwa na teknolojia ya kuibadili gesi kuwa mafuta (gas-to-liquids (GTL))

View: https://www.instagram.com/p/DHMKBqXI7S1/?igsh=MXE5OWU0emF2Nmw5Yw==
 
Feasibility study inaendelea
Nobody took Tanzania seriously, kwa kuwa tunapenda zaidi masihara kuliko vitendo.

Ukisikia Watanzania wako serious ni pale kuna pesa za wafadhili kama vita dhidi ya Ukimwi,unyanyasaji wa kijinsia,katazo la ndoa za utotoni.
Mambo mazito kama haya yafuatayo.
1.Nikiwa mdogo nasikia Mchuchuma na Liganga kufua chuma chini ya NDC hadi nazeeka ni WORK INPROGRESS hata kilo mmoja ya chuma haijazalishwa.Sana sana mkaa huo huo ameuziwa Museveni anayeyusha chuma kwa mazingira kama yetu anazalisha matani kwa matani nchini kwake Uganda.

2.Gesi asilia tokea kugunduliwa mwaka 1976 pale Songo Songo tumeshindwa kuitumia kikamilifu kwa visingizio hivyo hivyo INPROGRESS

3.Wanasema uzalishaji wa samaki kwenye mito bahari yetu na maziwa yetu umepungua sana wakati matumizi yameongezeka.
Hakuna marshal plan ya kulishughulia jambo hili kwa kina ,tunarudi kule kule INPROGRESS

4.Uzalishaji wa mawese kwa coast belt na kanda ya ziwa ni sawa sawa na hakuna huku tukiangiza mafuta yatokanayo na mawese kutoka nje ukiuliza ni INPROGRES
Vivyo hivyo kwa mazao ya matunda nafaka miti n.k
Aliyetuloga alishafariki na ufunguo wa majibu ya matatizo aliutosa bahari kuu ya Indi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…